Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Huyu hakufaa ata robo kutuongoza lawama zote nampatia Magu kwa kumlazimisha kubakia nafasi ya umakamu wa Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Huyu hakufaa ata robo kutuongoza lawama zote nampatia Magu kwa kumlazimisha kubakia nafasi ya umakamu wa Rais.
Wenzio wanapiga hesabu za miaka mingi ijayo, huku wewe ukiweka malengo ya kutwa tu. Hiyo ndiyo tofauti.Wewe unahisi tukiwa upande wa Marekani kwenye hivyo vita tutasaodia nini katika kumnyorosha Putin na Russia na unahisi tutakos nini kwa kujiunga na Marekani?
Urusi ndio wanaochimba madini ya uranium nchi Tanzania.
Kimkakati ukiipata Tanzania umeingia Rwanda, Burundi, Congo, Malawi na Zambia.
Kwan US wameshatoa misaada mingapi kwa Tz? Kwann wasitoe wao mojakwamoja mpaka wapitie kwa Korea?Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya Urusi vs NATO kwa kutumia umaskini na uvivu wetu wa kujituma, kujitegemea na kufikiria. Viongozi wetu wametunasisha kwenye mtego mpya na mbaya sana.
Tunawaza misaada TU muda wote na wakati wote. Wazungu wamesema wenyewe kuwa hawana cha bure (no free lunch).
Taifa liepuke kuwapa madaraka makubwa watu wote waliosoma kwa scholarships nchi za NATO.
Anafanya hivyo ili kuepusha tafrani asizopenda. Kumbuka Ukreni anahitaji misaada, Israeli naye.Kwan US wameshatoa misaada mingapi kwa Tz? Kwann wasitoe wao mojakwamoja mpaka wapitie kwa Korea?
Kama wao wanaweza kuishi bila sisi kwanini sisi tusiishi bila wao? Unataka kunambia Facebook inautajiri kushinda Rasilimali zetu! Tatizo nchi yetu inaongozwa na watu ambao hawawezi kufikiria kwa mapana.Kavulata,
Umeamka na hangover unaanza kuandika pumba:
1. Tanzania haina siasa ya kufungamana na kokote kule, ni nchi ya kutangatanga tu, wakiambiwa huko kuna pesa wanaenda huko, hawajali Marekani, wala China wala Japani. Hilo ujue. Ni Nchi isyokuwa na msimamo.
2. Nani anaitafuta Tanzania? Sisi ndiyo tegemezi siyo hao unaowataja, bila ya wewe wanaishi vizuri tu, ila bila ya wao huwezi kuishi.
3. Tanzania Trade Volume ni negligible compared na hao unawahofia, wala huna chembe ya kuwapa hofu. Facebook ina utajiri kuliko Tanzania, Tesla inaishinda Tanzania, au Anglo Gold; kwa hiyo lala upumzike wala hofu kama hzio usiwe nazo.
Kwani wewe unaishi wapi? Major News Media zinataja Tanzania kwa mwezi mara ngapi?
... I just can't wait for the money and TECH they'll bring along!Zero impact eeh, subirieni wakimbizi kutoka US na Urusi
hizi ni story tu za kufikirika....kwamba kuna taifa litatumia silaha itakayoangamiza mpaka raia wake......Hakuna nchi ipo tayari kupigana WW3, Endapo itatokea hii vita, ndo itakuwa vita mbaya zaidi kupiganwa katika uso wa dunia na possibly ndo ukawa ndo mwisho wa maisha ya kila kiumbe kinachoishi juu ya uso wa dunia. Why nasema hivi, urusi alishaonya kuwa akigiswa tu anaachia nule zake kuelekea taifa lolote specifically analengwa USA baada ya shambulizi USA atashambulia kwa nguvu zaiddi akisaidiwa na mataifa ya NATO dunia yote italipuka na hakuna kiumbe atabakia hai. Hivo hii vita haitatokea kamwe
NDO KANUNULIA ZILE PKPK AUMkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya Urusi vs NATO kwa kutumia umaskini na uvivu wetu wa kujituma, kujitegemea na kufikiria. Viongozi wetu wametunasisha kwenye mtego mpya na mbaya sana.
Tunawaza misaada TU muda wote na wakati wote. Wazungu wamesema wenyewe kuwa hawana cha bure (no free lunch).
Taifa liepuke kuwapa madaraka makubwa watu wote waliosoma kwa scholarships nchi za NATO.
Ni ukweli mtupu Mkuu! Ruto kaishavutwa na Marekani kwa nguvu! na midebwedo mingine imeitwa korea inajikesha kama mintunga ya kisukuma Rubbish! Niwaambie kitu Bi kizimkazi akiambiwa auze figo zetu ili tu aweze kuwa rais bila shida atafanya hivyo! When some fools desperate they become extremely dangerous!Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya Urusi vs NATO kwa kutumia umaskini na uvivu wetu wa kujituma, kujitegemea na kufikiria. Viongozi wetu wametunasisha kwenye mtego mpya na mbaya sana.
Tunawaza misaada TU muda wote na wakati wote. Wazungu wamesema wenyewe kuwa hawana cha bure (no free lunch).
Taifa liepuke kuwapa madaraka makubwa watu wote waliosoma kwa scholarships nchi za NATO.
Kwenye WWII walitumwa waafrika kwenda kuwa vibega na wapishi na wale wanajeshi walitangulizwa front kama chambo ya kupima nguvu ya adui!sasa mkuu hata ikitokea vita ya 3 sisi tuna athari gani kwenye vita hiyo,
1.hatuna ushawishi wowote
2. hatuna technology yeyote hasa kivita ambayo watabenefit kutoka kwetu
3. hatuna hela ya kuwachangia kununua silaha...nk
tuache kujipa umuhimu kwenye mataifa makubwa....
Kakudanganya nani kuwa Urusi inachimba Urani Tanzania? Kwanza unaujua Urani yenyewe? Ahahahahaha!!!Wenzio wanapiga hesabu za miaka mingi ijayo, huku wewe ukiweka malengo ya kutwa tu. Hiyo ndiyo tofauti.
Alifanikia kuanzisha miradi mikubwa huku akijua hana pesa ya kuimaliza kwa wakati kwa ukubwa wake.Alifanikiwa nn magu
Wamepewa State visit kwa sababu ya Wajaluo wa Kogelo 🙄🤠Mkuu mbona Marekani ni ni jirani yetu kabisa, rejea ziara ya Ruto majuzi ni kiongozi wa kwanza kwa ukanda huu kupata state visit kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita.
Alichofanikiwa ni ukwapuaji fedha za watu akaunt na kulinda rasilimali za asiliAlifanikia kuanzisha miradi mikubwa huku akijua hana pesa ya kuimaliza kwa wakati kwa ukubwa wake.
Viongozi wetu wanaangalia foleni inayosogea ila kujua magari kwenye foleni yanapinda kuelekea wapi. Unaweza kuhamia kwenye foleni ya magari yanayopinda kuelekea Temeke wakati wewe unataka kunyoosha kwenda posta. Viongozi wetu wamekubali mkopo bila kufahamu kwa mapana kwanini mkopo huo uje sasa Na sio Jana wala juzi. Hii ni ndoana ambayo itatuvua kuelekea magharibi bila hiari yetu.Anachopigania America sasa hivi ni kulinda hegemony yake, ambayo inatishiwa na Russia (nguvu za kivita), China (kivita na uchumi), na BRICS +Global South(kiuchumi)
Hegemony inampa mwanya wa kuitawala na kuiendesha dunia anavyotaka yeye kwa kuwa ana nguvu za kijeshi na kiuchumi.
Vîta ziko mbili, Na vita kubwa Na mbaya zaidi ni vita ya kiuchumi. Ulaya Na marekani wameshanusa kuwa Russia inakwenda kuziingiza kwenye umaskini mbaya sana kwa kuzisaidia kijeshi nchi ambazo zinazilisha nchi za magharibi kwa chakula, malighafi na masoko. Urusi iko syria, Iran, China, India, Venezuela, cuba, Burkina Faso, Mali, Niger, DR Congo, nchi za kiarabu nk. Nchi hizi wako tayari kufa kwa vita kuliko fedheha ya kufa kwa njaa. Hasira za ufaransa kwa Russia inatokana Na ukweli huu wa kunyang'anywa makoloniHakuna nchi ipo tayari kupigana WW3, Endapo itatokea hii vita, ndo itakuwa vita mbaya zaidi kupiganwa katika uso wa dunia na possibly ndo ukawa ndo mwisho wa maisha ya kila kiumbe kinachoishi juu ya uso wa dunia. Why nasema hivi, urusi alishaonya kuwa akigiswa tu anaachia nule zake kuelekea taifa lolote specifically analengwa USA baada ya shambulizi USA atashambulia kwa nguvu zaiddi akisaidiwa na mataifa ya NATO dunia yote italipuka na hakuna kiumbe atabakia hai. Hivo hii vita haitatokea kamwe