kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #61
Sio
Sio kweli kaka, hio ilikuwa zamani enzi za Nyerere, siku hizi tunafungamana. Hebu fanyeni ziara ya wazi mbele ya camera pale Korea kaskazini tuone kama hamfungamani.Kavulata,
Umeamka na hangover unaanza kuandika pumba:
1. Tanzania haina siasa ya kufungamana na kokote kule, ni nchi ya kutangatanga tu, wakiambiwa huko kuna pesa wanaenda huko, hawajali Marekani, wala China wala Japani. Hilo ujue. Ni Nchi isyokuwa na msimamo.
2. Nani anaitafuta Tanzania? Sisi ndiyo tegemezi siyo hao unaowataja, bila ya wewe wanaishi vizuri tu, ila bila ya wao huwezi kuishi.
3. Tanzania Trade Volume ni negligible compared na hao unawahofia, wala huna chembe ya kuwapa hofu. Facebook ina utajiri kuliko Tanzania, Tesla inaishinda Tanzania, au Anglo Gold; kwa hiyo lala upumzike wala hofu kama hzio usiwe nazo.
Kwani wewe unaishi wapi? Major News Media zinataja Tanzania kwa mwezi mara ngapi?