Mkopo wa Korea ni sehemu ya vita ya Urusi na Ukraine, tumenasa

Sio
Sio kweli kaka, hio ilikuwa zamani enzi za Nyerere, siku hizi tunafungamana. Hebu fanyeni ziara ya wazi mbele ya camera pale Korea kaskazini tuone kama hamfungamani.
 
Kwan US wameshatoa misaada mingapi kwa Tz? Kwann wasitoe wao mojakwamoja mpaka wapitie kwa Korea?
Ulitaka US iwaite Tena waende Marekani? We hujui kuwa Korea kusini inawindwa na Korea kaskazini pia? Hujui kuwa adui ya rafiki Yako ni adui Yako pia?
 
Mieeveni hayuko urusi, ni kama sisi tu tunashirikiana na nchi nyingi.
And hilo suala la ushoga america hana shida nalo maana hali athiri uchumi wake, anachotsfuta america ni nore trading partners and support ku capture vituo vipya vya uchumi
Jambo ambalo wewe na mazuzu wengine hawalijui ni kwamba NATO itatumika kuichukua tena afrika kama zamani. Na hili haliko mbali sana, ni baada ya kuiangusha urusi na china.
 
sisi wala ugali na dagaa hizo vita labda waje kupigana huku ndo tutaathirika...
ila wakipigania uko kwao sie hatuna shida
njaa tushaizoea kwa siku milo miwili au mmoja
acha mama awe (chura)
asisikie kelele za mabomu😀
 
Huku aje yeyote hela italambwa tu.......tokea enzi za changa la macho la vyama vingi ili tupate mikopo, wahuni wakafanya wamekubali masharti ila walikua wanajua kitabaki chama kile kile mambo ndo hadi leo,,,juzi kati pesa za corona watu wamelamba na hakuna habari za kulazimisha machanjo............bongo ilivyo wahuni wanaweza kula pesa ya mmarekani na wakala pesa ya mrusi maisha yakaendelea
 
Jambo ambalo wewe na mazuzu wengine hawalijui ni kwamba NATO itatumika kuichukua tena afrika kama zamani. Na hili haliko mbali sana, ni baada ya kuiangusha urusi na china.
It a mistake kutukana au kumuita mtu jina lisilo la kistaarabi halaf ndio unajibu hoja.
Huwez kujibu hoja bila ku name mtu vitu vichafu?
Anyway maybe that you, but then again tz ni mchanganyiko, so do other EA countries, currently hatuna uchumi ambao unaweza kuyumbisha soko la dunia kwa maamuzi ya kwetu.

but then again NATO wanajua wana loose influence fast, is why wanahangaik now, so interest za US and NATO is to maintain uchumi wao, china na russia ni threat to uchumi wao, is not about vita is about nani atakaa on the top kichumi
 
Ufaransa hana namna nyingine isipokuwa kupigana na Urusi ili kuyabakisha makoloni yake yasimponyoke. Kiuchumi Korea Kusini Iko karibu na ufaransa kuliko Tanzania. Nchi za NATO uchumi wake umeparaganyika, haukui hazina luxury ya kutoa misaada kwetu, zinahitaji misaada pia. Kama wao wamekupa misaada monono wenye masharti nafuu kwanini wewe ukatae ombi lao la kujenga kituo kikubwa cha kijeshi kwenye nchi yao?
 
Mmmmh...siku hizi hata kufanya kautafiti kidogo hakuna,mtu anaropoka TU, Si Marekani Wala Urusi hazipo tayari kuanzisha vita ya 3 ya Dunia
 
Mmmmh...siku hizi hata kufanya kautafiti kidogo hakuna,mtu anaropoka TU, Si Marekani Wala Urusi hazipo tayari kuanzisha vita ya 3 ya Dunia
Huu ndio uzembe wa mtu mweusi, kudhani kuwa "haiwezekani" kutokea vita ya 3 ya Dunia wakati wenzao watu weupe wanajiandaa nayo kama itatokea.
 
Kw
Wewe ni wale aina ya watu wanaotamani kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu afrika. Wewe una mawazo yaleyale ya wafadhali, wahisani, wabia wa maendeleo, nk. Duniani hakuna kitu kama hicho cha sisimizi kuwa huru kutembea na kuzunguuka ndani ya chupa yenye ufuniko.
 
Kwanza kuwa na adabu pia acha stress za kilofa,fanya kazi kwa juhudi na maarifa tena siku hizi wamewaongezea AI.
Dunia ya leo unataka kula bila kunawa?
 
Kwanza kuwa na adabu pia acha stress za kilofa,fanya kazi kwa juhudi na maarifa tena siku hizi wamewaongezea AI.
Dunia ya leo unataka kula bila kunawa?
Yaani wewe uko kwenye ngazi ya familia Yako bado,
 
Kw
Kwa mtu mwenye akili timamu anajua kuwa vita ya Urusi na Ukraine ni vita ya kupinga colonization na decolonization of the world. Nchi zinazomuunga mkono Ukraine ni zile zilizokuwa zinamiliki makoloni, ni zile zinazotumia silaha kupora mali za wengine. Mtu mwenye akili yenye akili kutokea nchi zinazonyonywa lazima ataitakia heri Urusi kwenye vita hii.
 
Wakati Dunia inanusa hatari sisi tunanusa njaa. Wakati mataifa yanatengeneza yanatengeneza historia sisi tunatengeneza madawati. Miaka 60 ya uhuru bado Kuna nchi inakopa kutengeneza madawati ya shule.
 
🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…