Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
😹😹😹Njoo nikukoposhe ulipe madeni. Riba yangu ni nafuu kabisa
😹😹😹Njoo nikukoposhe ulipe madeni. Riba yangu ni nafuu kabisa
Haha itume kwangu nimpeMbona unakuwa na mawazo ya ngono weye🤣🤣🤣🤣
Wewe uko sahihi na ndivyo ilivyo.Hapo kuna kitu hujaelewa mkuu..
Ukikopa TZS 100,000 let say riba ni 18% inamaana ilitakiwa urudishe TZS 118,000.. Kwahyo ukipewa TZS 82,000 then ukaja ukarudisha TZS 100,000 ni jambo lilelile. Wanachofanya wao wana secure riba yao ili we ulipe principal amount... Shida ya hii mikopo ni jinsi wanavyopanga hizo riba.. Ni kama BOT haioni wizi huo..
Ngoja aje aombe mkopp kwanzaHaha itume kwangu nimpe
😹😹😹Haha itume kwangu nimpe
😹😹😹😹Ngoja aje aombe mkopp kwanza
Jamaa aliambiwa kiwango cha mkopo ni 81,000 ila kuna makato na mkopo atalipwa akiwa ameshakatwa pesa zao wakakata chao wakampa 64,000 cash. Sasa sms inakuja baadae akaambiwa unadaiwa 81,000. Sasa si alipokea 64,000 alitakiwa sasa arudishe hiyo hiyo 64,000 maana walisha chukua 17,000 kama riba ya hyo 64,000 unaelewa lakini anaambiwa alipe 81,000 ??? Sawa 17,000 waliyoichukua na 17000 inayo ongezeka kufika 81000 ni ngap 34000 wame hukuaHapo kuna kitu hujaelewa mkuu..
Ukikopa TZS 100,000 let say riba ni 18% inamaana ilitakiwa urudishe TZS 118,000.. Kwahyo ukipewa TZS 82,000 then ukaja ukarudisha TZS 100,000 ni jambo lilelile. Wanachofanya wao wana secure riba yao ili we ulipe principal amount... Shida ya hii mikopo ni jinsi wanavyopanga hizo riba.. Ni kama BOT haioni wizi huo..
😹😹😹 Simu inakutisha..!!Na ambao tuko na deni mgodi na songesha adi nakimbia mpesa yangu 💔
We jamaa kuna sehemu huelewi hapo. Umesema alikopa 81,000 wakakata riba 17,000. Wamempa 64,000. Kwa hiyo jamaa yako amepoke 64,000 kwenye simu yake.Jamaa aliambiwa kiwango cha mkopo ni 81,000 ila kuna makato na mkopo atalipwa akiwa ameshakatwa pesa zao wakakata chao wakampa 64,000 cash. Sasa sms inakuja baadae akaambiwa unadaiwa 81,000. Sasa si alipokea 64,000 alitakiwa sasa arudishe hiyo hiyo 64,000 maana walisha chukua 17,000 kama riba ya hyo 64,000 unaelewa lakini anaambiwa alipe 81,000 ??? Sawa 17,000 waliyoichukua na 17000 inayo ongezeka kufika 81000 ni ngap 34000 wame hukua
Wizi unaofanyika hapo ni kukukopesha pesa chini ya kiwango cha kile ulichotaka kukopa. Unahitaji shilingi 100,000 ukafanyie shughuli zako. Badala yake unakatwa riba muda uleule unapopewa mkopo na ukaishia kupata dh. 82,000. Hii si sawa kwani Ile riba wanayokukata wanaitumia kukopesha wengine kwa mtindo huo huo. Kiukweli mkopo waliokukopesha ni shilingi 82,000, ndani ya mwezi mmoja unawalipa sh. 100,000 riba yake ni 22% kwa mwezi. Huu ni wizi kwa kutumia catch word yao ya vigezo na masharti kuzingatiwa. Uwapo na shida wala huyasomi hayo masharti. Ukianza kulipa ndio unagundua kuna ujanja umetumika kukuibia.Hapo kuna kitu hujaelewa mkuu..
Ukikopa TZS 100,000 let say riba ni 18% inamaana ilitakiwa urudishe TZS 118,000.. Kwahyo ukipewa TZS 82,000 then ukaja ukarudisha TZS 100,000 ni jambo lilelile. Wanachofanya wao wana secure riba yao ili we ulipe principal amount... Shida ya hii mikopo ni jinsi wanavyopanga hizo riba.. Ni kama BOT haioni wizi huo..
Yes sahihi huu ni wizi lakini partly. Riba unatakiwa kuichukua mwisho wa mkopo. Lakini kama wana charges kama application fees hizi unaruhusiwa kukata upfront kutoka kwenye mkopo wa mteja.Wizi unaofanyika hapo ni kukukopesha pesa chini ya kiwango cha kile ulichotaka kukopa. Unahitaji shilingi 100,000 ukafanyie shughuli zako. Badala yake unakatwa riba muda uleule unapopewa mkopo na ukaishia kupata dh. 82,000. Hii si sawa kwani Ile riba wanayokukata wanaitumia kukopesha wengine kwa mtindo huo huo. Kiukweli mkopo waliokukopesha ni shilingi 82,000, ndani ya mwezi mmoja unawalipa sh. 100,000 riba yake ni 22% kwa mwezi. Huu ni wizi kwa kutumia catch word yao ya vigezo na masharti kuzingatiwa. Uwapo na shida wala huyasomi hayo masharti. Ukianza kulipa ndio unagundua kuna ujanja umetumika kukuibia.
Matajiri wanafanya kila hila kupora hata kile kidogo alichonacho masikini.Wana Jamvi kuna Mkopo wengi wetu tulikuwa hatujui kuwa ni tatizo na ni kwa sababu ya kutokaa na kufikiria mara mbili. Nimefanya tafiti za riba kupitia watu 4 wanao chukua mikopo ya mtandao nikabaini mengi na mfano moja wapo ni huu, lazima kila mtu akae afikirie mara 2 kabla ya kuchukua mkopo wa mtandaoni.
Kwenye menu ya mpesa ya vodacom *150*00# ukichagua namba 5 ambayo ni Loans...halafu 3 ambayo ni MGODI... Hawa hutoza riba ya 50% ndani ya mwezi 1 kwa ujanja mkubwa sana ambao huwezi kushtuka na sio rahisi.
Mfano Mkopo wa sh 81,000 unaambiwa wanakata pesa zao ili ubaki na sh 64,000 wala hawasemi wanakata sh ngapi au ni % ngap kwa hizo wanazoita pesa zao. Ila wewe mkopaji utabaini wamekata sh 17,000 kwa mkopo huo wa sh 81,000, sasa badala ya kukueleza kwamba utalipa deni la sh 64,000 maana wameshachukua chao wao watakwambia unadaiwa sh 81,000 maana yake wanaendelea kukudai tena sh 17,000 walio kata hapo mwanzo. Sasa ukijumlisha sh 17,000 walio kata ili wakupe mkopo na hii ambayo imeingizwa tena ili ulipe mkopo ulio ainishwa kwa mara ya kwanza kama mkopo kamili utabaini unawalipa sh 34,000 kwa mkopo halisi ulio upokea wa sh 64,000. Kumbuka hata hiyo sh 64,000 ulio upokea bado kutoa utakatwa nyingine kama makato ya kutolea.
Taasisi za mikopo waliangalie hili swala. Kwanza wamsaidie mkopaji kisheria kama wanavyo tunga sheria pamoja na soko huria ya riba ili ukali wa makato kwa njia ya mtandao uzingatiwe kwenye kupunguza riba. Vinginevyo ni umaskini tu na ninchangamoto kwa maskini maana unaulipa ndani ya mwezi mmoja kwa riba ya 50%
Hawa ndio wauaji..wakat unakopa kwa app wako kimya..siku ya 5 au 6 sasa simu msg kama zote tena no tofauti tofauti..hawachoki..matusi, kejeli maneno machafu chafu..kuwatafuta watu wako na kuwatukana pia yani chefuuu..riba zao na mda wao sio rafiki ndo mana urejeshaji wengine huwashinda...hawa sijui dawa yao nini..vema wao wakaacha kukopesha kwa app sbb wakati wa kukopa huongei nao..ila sasa siku ya 5 unapigiwa na no 20 tofauti...tabu iziBora ata hao na muda wa kulipa mwenzi mmoja,je hao wa wengine kina poketi loan n benefit loan,laki tatu ulipe laki 5 siku Tano.wauaji
Ten badonwapo..kipindi kile walipotea saivi wapo tena..app zinavutia balaa na mtu anazama , sikilizia sasa siku ya 5Naona wamecopy kwenye ile mikopoya mitandaoni ndo wanamakato ya hivyo App ambazo BOT walizipiga marufuku