Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Muda wa faragha ya mtu na Mungu wake ni siri
Halafu kufunga si lazima.
Tafuta origin bible verse ya lile neno kwa kuomba na kufunga utaona lile neno kufunga limewekewa mabano .
Mabano maana yake ni neno lililoongezwa na mwandishi mwingine baadaye.
Suala la kuomba nakuunga mkono, bila maombi ni sawa na mtu mfu ila hayo maombi lazima yawe ya rohoni (kunena kwa lugha).
Shetani ametumia neno lile lililoongezwa na wahuni kuwaondolea ujasiri wana wa Mungu. Imefika wakati mwana wa Mungu kama hajafunga anashindwa hata kutoa pepo, akiaambiwa kesho tukamwombee mgonjwa au tukapige maombi ya vita mahali basi atakimbilia kufunga.View attachment 2784171
Kufunga muhimu mkuu.
Katika battle kubwakubwa kwenye maandiko walifunga kuanzia watoto, wazazi hadi mifugo.

Ezra na msafara wake, walifunga kupata ulinzi wa kupita kwenye hatari kubwa.
Kando ya mto ahava.

Ester kupindua matokeo ya kufutwa kwa taifa la israel walifunga siku tatu bila kula

Yesu ili aanze mambo makubwa alifunga.

Paulo ili kanisa likue alifunga

Ninawi ili isiangamie walifunga.

Daniel ili watoke utumwani alifunga

Nehemia ili akafanye project ya kuijenga yerusalem alifunga

Yesu alisema kuna ishu ili utoboe ni lazima uchanganye maombi na mfungo
 
We bado mtoto sana unayeipima utajiri kwenye angle ya makaratasi(Tsh). Akina Mansa Mussa, Suleiman and cos tunaoambiwa ndio matajiri hawakuwa na hizo karatasi. Pia term utajiri kila mtu ana angle yake ta kulitafsiri. Pole yako.
Hakuna makaratasi kipindi yao ilikuwa gold na walikunayo .hakuna mbadala wa kutokuwa na hela za makaratasi kama huna ww ni katuni na shoga
 
Matendo ya baraka Yana nguvu kuliko kufunga na kuomba.
Mungu hawezi kukupa kama umpi.
Ukiona kuomba na kufunga upati majibu ongezea na matendo ya baraka au matendo ya utoaji.
Kuomba na kufunga ni kutafuta maelekezo ya Mungu ikiwemo kufanya hayo matendo ya baraka mkuu.

Ukijifanyia tu utagundua moja ya sharti la freemason kwenye low level ni charity, kufanya matendo ya huruma ndio maana wakina hayati Chande walijenga visima vingi na kusaidia watu.

Hakikisha kila unachofanya unamstari wake na unakifanya kutokea kwenye kuomba. Maana kila maelekezo ya Mungu wachawi, wafanga na vijana wa ibrisi wameagizwa kufanya ili wachanganye mashabiki.
 
Nyie mnafunga au mnabadikisha ratiba ya kula toka kula mchana na mnashinda kula usiku?😀😃😄😁😆😅🤣😂
Ili iwe funga inabidi iweje?
Mbona una lazimisha funga iwe kama vile unavyojua?
Kama sala, ibada, maombi hamfanani na wote mnaita majina hayo hayo kwanini funga yao unaibeza?
Kila mtu anafunga vile alivyofundishwa. We kama unaamini ili iwe funga usile kabisa sawa endelea kufanya hivyo, na wale wengine waache wafanye walivyofundishwa.
Dini zote za kuletewa halafu kuna mmoja anajifanya ana dini sahihi. Pathetic
 
Hakuna makaratasi kipindi yao ilikuwa gold na walikunayo .hakuna mbadala wa kutokuwa na hela za makaratasi kama huna ww ni katuni na shoga
Makaratasi ni uwakilisho tu. (Representation).
Kuna njia nyingi za kumiliki mali. Na Mungu anataka watoto wake wamiliki maana kuna mambo bila pesa huwa hayaendi. Ndio maana Yesu alikuwa na Muhasibu Yuda. Ili sijekushindwa kwenda sehemu kisa hawana nauli ya boti za ziwa genezareti
 
Sasa ushaambiwa matajiri hawafungi.
Wewe na kufunga kwako mbona hutajiriki.
Amka kafanye kazi, funga haitakulinda na chochote na wala maombi hayatakutoa katika umasikini.

Halafu, wenzako gani wanakwenda kwa waganga?
 
Mungu humwezesha mja wake kujikimu kimaisha tu,swala la utajiri ni yenye mungu aamue kuhusu Hilo maishani mwako!

Mcha mungu hapaswi kutamani kuwa tajiri Bali Aishi kwa vile mungu amemjaalia!!

Shida inaanzia pale ambapo mcha mungu anapotamani furaha ya mwingine mwenye Mali bila kujua asili ya hizo Mali!ndipo mtego huanza hapo na mwisho ni kujichoma na maumivu mengi sana!!
 
wanavaa bangili za shaba au chuma mikononi Kuna mmoja huyo la kwake Limechingwa halaf
Madini ya shaba au yeyeto Sio uchawi labda tu kama umeambatanisha na manuizi ya kichawi..
Shaba inazuia nguvu za giza pia ni Afya kwa mwili.

Sio dhambi kutumia madini kujikinga au kuvuta bahati
 
Makaratasi ni uwakilisho tu. (Representation).
Kuna njia nyingi za kumiliki mali. Na Mungu anataka watoto wake wamiliki maana kuna mambo bila pesa huwa hayaendi. Ndio maana Yesu alikuwa na Muhasibu Yuda. Ili sijekushindwa kwenda sehemu kisa hawana nauli ya boti za ziwa genezareti
Kuwa na hela au unaita uwakilisho ila iwe nyingi kama huna wow ni kumama$$
 
Ili iwe funga inabidi iweje?
Mbona una lazimisha funga iwe kama vile unavyojua?
Kama sala, ibada, maombi hamfanani na wote mnaita majina hayo hayo kwanini funga yao unaibeza?
Kila mtu anafunga vile alivyofundishwa. We kama unaamini ili iwe funga usile kabisa sawa endelea kufanya hivyo, na wale wengine waache wafanye walivyofundishwa.
Dini zote za kuletewa halafu kuna mmoja anajifanya ana dini sahihi. Pathetic
Kuna aina nyingi za kufunga na zote ni halali kibiblia.

1: Kutokula 24hrs.
2: Kutokula siku tatu mfululizo.
3: Kujizuilia baadhi ya vyakula au baadhi ya vitu. Alifanya Danieli.

Kikubwa kusudi la kufunga sio kutokula hapo utakuwa umafanya diet. Kusudi ni kupata Muda mwingi wa kuwa na Mungu bila distraction yoyote tumboni. Na kuomyesha Mungu ni zaidi ya chakula
Maana wengi chakula kimekua muungu wao.
 
Umeshasema Kibiblia, muislam haamini Biblia. Na kwa msingi huo maelekezo yao ya funga yapo tofauti na Biblia.
Sasa kujizuia baadhi ya vyakula au kutokula in 24 hours ni sehemu za funga zenu, kwanini mdau anabeza funga ya waislam ya kutokula kuanzia alfajiri hadi kuzama kwa jua.?
 
Sasa hayo ni makubaliano yao kwa misingi ya imani yao, sio sahihi kuwabeza maana ndio imani yao. Labda kuwashawishi ukiacha ile ya mfungo wa Ramadhan wawe na funga zao binafsi kwa ajili ya mambo yanayowahusu wao ili Mungu aingilie kati.

Maana hata wabudha na wachina wanafunga kwa taratibu zao.

Katika hili ni busara kuheshimu tu watu na imani zao
 
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.

Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.

Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.

Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Hamna uchawi simple as that. Wewe Kama unaamini uchawi upo na bila kufunga huwezi fanikiwa sawa endelea na mindset yako. Ila watu kibao wanafanya biashara na wanaendelea bila kuwaza mambo unayowaza wewe so usitishe watu na Baki na Imani zako za kishirikina
 
matunduizi kwani ukiwa ktk hali ya kufunga kuna ishara gani nitaziona ktk mwili wako hata mimi wa pembeni nijue kwamba huyu mtu amefunga?

Kama unadhani hazipo hizo ishara wewe unapata wapi guts za kusema akina fulani hawafungi?
 
Back
Top Bottom