Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

matunduizi kwani ukiwa ktk hali ya kufunga kuna ishara gani nitaziona ktk mwili wako hata mimi wa pembeni nijue kwamba huyu mtu amefunga?

Kama unadhani hazipo hizo ishara wewe unapata wapi guts za kusema akina fulani hawafungi?
Sio kesi kasisi.
Tunaongea uhalisia.
Pia simaanishi ile mifungo ya maelekezo ya kanisa kama Kwalesma, au waislam Ramadhan au Wasabato Siku kumi za maombi.

Namaanisha private kwa mujibu wa maelezo mengi na uzoefu mwingi kwa watu ninaokutana nao zaidi ya kuombewa wao ni kupambana na maisha tu na hawafanyi hayo ila mambo yanaenda na ni watu wa imani. Ndio najiuliza wao wanalindwaje?
 
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.

Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.

Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.

Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Kufunga ndio nini? Kuomba au kuishi decent life ni ibada tosha.
 
Ajabu ni kuwa wale wasiomjua Mungu kabisa ndio hufanikiwa.

Sijui maombi yetu ndiyo yanaenda kwao, hata sijui.
Hii muhimu sana kuitafakari. Maana ni ukweli mkubwa.

Ila ninachojua, wale jamaa wa giza ni waaminifu kwa maelekezo na maagizo ya waganga kuliko wakristo kwa maagizo ya maandiko wanayoyaamini.
 
Mungu ni mwaminifu sana katika kulinda vitu kupiia sadaka..Shida ni kwamba watu hwafati shemu sahihi ya kutoa sadaka. Mambo yote ya ulinzi wa kiroho mguu wakuingilia ni sadaka sadaka sadaka .halafu wengine wanaamini sadaka ni pesa tu hapana
Sadak nyingine ni ipi? Nijuze mkuu nibadilike
 
Ajabu ni kuwa wale wasiomjua Mungu kabisa ndio hufanikiwa.

Sijui maombi yetu ndiyo yanaenda kwao, hata sijui.
Mungu huyo Hayupo.

Watu ambao tunajua hakuna Mungu, Hatuna muda wa kupoteza kuomba kisicho kuwepo.

Sala na maombi ni mashaka kudhani kwamba kuna kiumbe aitwaye Mungu, Yupo huko juu mawinguni ambaye hutoa baraka kwa viumbe wa Duniani.

Kitu ambacho si kweli ni hofu na propaganda za kidini tu...
 
Wanaoongoza kuombewa na kutolewa mapepo sugu wakiwa hoi ni atheists.
 
Huwa nawaza au Mungu anafanya hivyo ili njia ile ya wovuni iwe na wengi.
Pia kuna kanuni, universal laws Mungu kaziweka ambazo yeyote akikomaa hata kama hana Mungu anatoboa.

Wengi tumekuwa pia wavivu tukisubiri Mungu na maombi yafanye kile ambacho tayari Maandiko yameshatoa muongozo.

Bidii
Kuamka mapema
Kutunza hesabu
Kuwa na connection za maana
Kula kwa afya usiugueugue
Kujitamkia positive affirmation.
Kutokata tamaa
Kuweka akiba
Kutunza wakati wa wingi na kuuza wakati wa scarcity. (Kucheza na soko.)

Etc
 
Wanaoongoza kuombewa na kutolewa mapepo sugu wakiwa hoi ni atheists.
Hujui hata Atheism ni nini.

Aliye kwambia Atheists wana amini mapepo wapo ni nani?

Mapepo, Shetani, Mungu, Roho, malaika, mizimu HAWAPO.

Hivyo vyote ni Fiction characters, imaginations just an illusion.
 
Hujui hata Atheism ni nini.

Aliye kwambia Atheists wana amini kwemapepo wapo ni nani?

Mapepo, Shetani, Mungu, Roho, malaika, mizimu HAWAPO.

Hivyo vyote ni Fiction characters, imaginations just an illusion.
Hawaamini lakini wanapokuta na uhalisia hata kama sio wao ndugu zao wanatusumbua.
Atheism ni ulimbukeni mwingine duniani ambao ni mbeleko ya ushoga na upotezwaji wa mwelekeo wa maadili ulimwenguni.
 
Kufunga muhimu mkuu.
Katika battle kubwakubwa kwenye maandiko walifunga kuanzia watoto, wazazi hadi mifugo.

Ezra na msafara wake, walifunga kupata ulinzi wa kupita kwenye hatari kubwa.
Kando ya mto ahava.

Ester kupindua matokeo ya kufutwa kwa taifa la israel walifunga siku tatu bila kula

Yesu ili aanze mambo makubwa alifunga.

Paulo ili kanisa likue alifunga

Ninawi ili isiangamie walifunga.

Daniel ili watoke utumwani alifunga

Nehemia ili akafanye project ya kuijenga yerusalem alifunga

Yesu alisema kuna ishu ili utoboe ni lazima uchanganye maombi na mfungo
Yesu alisema wapi?
Mimi ni Mtheolojia ndugu
Ile math. 17:21 ni mstari ulioongezwa na watu.
Na umeliathiri kanisa la leo.
Yesu mara ya kwanza tu anawapa wanafunzi amri na mamlaka juu ya Pepo (nguvu zote za giza) baadaye hawezi kuwaongezea mzigo mwingine.
Kufunga sio dhambi ila ule mstari munaomsingizia Yesu kausema ni watu waliuongeza kwa utashi wao.
Mimi kwa mwaka naweza kufunga mara Moja, mbili au nisifunge hata mara Moja na ninapiga battle kubwa kubwa na kuziwin.
Roho mtakatifu anatosha
 
Matendo ya Mitume 13:3
Ndipo wakiisha kufunga na kuomba, wakaweka mikono yao juu yao, wakawaacha waende zao.

Mbona mitume walimuelewa Yesu wakapractice.
Mimi sio mtheolojia (taalimungu) ina naamini katika mafunuo na maandiko.
Kufunga japo sio njia pekee lakini no moja ya maagizo ya maandiko.
 
We bado mtoto sana unayeipima utajiri kwenye angle ya makaratasi(Tsh). Akina Mansa Mussa, Suleiman and cos tunaoambiwa ndio matajiri hawakuwa na hizo karatasi. Pia term utajiri kila mtu ana angle yake ta kulitafsiri. Pole yako.
Bro, zungusha ringi uwezavyo. Lakini ukweli utabaki pale pale. Utajiri ni PESA. hizo unazoita makaratasi.
 
Matendo ya Mitume 13:3
Ndipo wakiisha kufunga na kuomba, wakaweka mikono yao juu yao, wakawaacha waende zao.

Mbona mitume walimuelewa Yesu wakapractice.
Mimi sio mtheolojia (taalimungu) ina naamini katika mafunuo na maandiko.
Kufunga japo sio njia pekee lakini no moja ya maagizo ya maandiko.
Kila mmoja na wito wake na Imani yake.
Binafsi hata nikihubiri mikutano ya nje nawafungua watu bila kuweka mikono juu yao ingawa agizo ni kuweka mikono.
Mwingine anaamini bila kuweka mkono wake mahali panapomuuma mgonjwa uponyaji hauji , mwingine anaamini neno lake tu linatosha.
Maadamu wote tunampenda na kumwamini Yesu good
 
Naamini kuongozwa na neno ni salama zaidi sio unachofanya hata kama kinaleta tokeo. Hata huyo roho aliahidiwa kutuongoza kuishika kweli yote. Miongoni mwa watu ambao Yesu atawakana ni waliodhani matokeo ya matendo yao ni tiketi ucha Mungu wao.

Kuna watu wanatoka kuzini na wanatoa pepo.

Kikubwa ni neno. Likisema tufunge na kuomba tufunge ila halijasema mara ngapi.

Kuhusu mikono. Neno halisemi mikono tu, bali hata bila kuongea ukamuangalia tu mtu anapona. Yesu aliwahi kufanya hivyo na nyia nyingine nyingi maandiko yanasema. Hata elisha alipomponya naamani hata hakuonana naye alitoa maagizo tu bila kuonana.

Kikubwa, kama kitu kimo mwenye maandiko tufanye, kama hakimo tukiohoji na kushika yale yanayoungana na maandiko hata kama na hayajaandikwa.
 
Hawaamini lakini wanapokuta na uhalisia hata kama sio wao ndugu zao wanatusumbua.
Atheism ni ulimbukeni mwingine duniani ambao ni mbeleko ya ushoga na upotezwaji wa mwelekeo wa maadili ulimwenguni.
Ushoga una ingiaje hapa?

Ushoga ni tabia ya mtu kama ilivyo ulevi,wizi, uongo, umbea n.k

Hakuna uhusiano wowote wa Atheism na ushoga.

Mkisha ishiwa hoja mna ingiza ushoga maana mnapenda sana ku usikia na ku utaja taja, Bila shaka hata wewe ni shoga.

Ndio maana viongozi wenu wa makanisa, Ma askofu na Papa wanadhamiria kuhalalisha ndoa za jinsia moja.

Makanisani na nyumba nyingi za ibada ndio zina ongoza kwa matendo ya ulawiti na ushoga.
 
Back
Top Bottom