matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #41
Sio kesi kasisi.matunduizi kwani ukiwa ktk hali ya kufunga kuna ishara gani nitaziona ktk mwili wako hata mimi wa pembeni nijue kwamba huyu mtu amefunga?
Kama unadhani hazipo hizo ishara wewe unapata wapi guts za kusema akina fulani hawafungi?
Kufunga ndio nini? Kuomba au kuishi decent life ni ibada tosha.Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge chenye mtaji wa 10K TSh utashambuliwa kama ni billionea. Inabidi huwe ngangari ndio utoboe.
Wale wenzetu hutumia uganga, nyie huo ujasiri wa kuwa wakavu kiroho alafu mnatafuta mali bila maombi na kufunga mnatoboaje huko?
Hii muhimu sana kuitafakari. Maana ni ukweli mkubwa.Ajabu ni kuwa wale wasiomjua Mungu kabisa ndio hufanikiwa.
Sijui maombi yetu ndiyo yanaenda kwao, hata sijui.
Sadak nyingine ni ipi? Nijuze mkuu nibadilikeMungu ni mwaminifu sana katika kulinda vitu kupiia sadaka..Shida ni kwamba watu hwafati shemu sahihi ya kutoa sadaka. Mambo yote ya ulinzi wa kiroho mguu wakuingilia ni sadaka sadaka sadaka .halafu wengine wanaamini sadaka ni pesa tu hapana
Mungu huyo Hayupo.Ajabu ni kuwa wale wasiomjua Mungu kabisa ndio hufanikiwa.
Sijui maombi yetu ndiyo yanaenda kwao, hata sijui.
Huwa nawaza au Mungu anafanya hivyo ili njia ile ya wovuni iwe na wengi.Hii muhimu sana kuitafakari. Maana ni ukweli mkubwa.
Ila ninachojua, wale jamaa wa giza ni waaminifu kwa maelekezo na maagizo ya waganga kuliko wakristo kwa maagizo ya maandiko wanayoyaamini.
Wanaoongoza kuombewa na kutolewa mapepo sugu wakiwa hoi ni atheists.Mungu huyo Hayupo.
Watu ambao tunajua hakuna Mungu, Hatuna muda wa kupoteza kuomba kisicho kuwepo.
Sala na maombi ni mashaka kudhani kwamba kuna kiumbe aitwaye Mungu, Yupo huko juu mawinguni ambaye hutoa baraka kwa viumbe wa Duniani.
Kitu ambacho si kweli ni hofu na propaganda za kidini tu...
Pia kuna kanuni, universal laws Mungu kaziweka ambazo yeyote akikomaa hata kama hana Mungu anatoboa.Huwa nawaza au Mungu anafanya hivyo ili njia ile ya wovuni iwe na wengi.
Vyote vinaenda kwa pamoja kama ilivyo imani na matendoMatendo ya baraka Yana nguvu kuliko kufunga na kuomba.
Mungu hawezi kukupa kama umpi.
Ukiona kuomba na kufunga upati majibu ongezea na matendo ya baraka au matendo ya utoaji.
Hujui hata Atheism ni nini.Wanaoongoza kuombewa na kutolewa mapepo sugu wakiwa hoi ni atheists.
Yani Mungu mnayedai ana upendo, mwema sana na mwenye huruma,Huwa nawaza au Mungu anafanya hivyo ili njia ile ya wovuni iwe na wengi.
Hawaamini lakini wanapokuta na uhalisia hata kama sio wao ndugu zao wanatusumbua.Hujui hata Atheism ni nini.
Aliye kwambia Atheists wana amini kwemapepo wapo ni nani?
Mapepo, Shetani, Mungu, Roho, malaika, mizimu HAWAPO.
Hivyo vyote ni Fiction characters, imaginations just an illusion.
Mungu hafanyi hivyo, anayefanya hivyo ni shetani ili awapate wengi...Huwa nawaza au Mungu anafanya hivyo ili njia ile ya wovuni iwe na wengi.
Yesu alisema wapi?Kufunga muhimu mkuu.
Katika battle kubwakubwa kwenye maandiko walifunga kuanzia watoto, wazazi hadi mifugo.
Ezra na msafara wake, walifunga kupata ulinzi wa kupita kwenye hatari kubwa.
Kando ya mto ahava.
Ester kupindua matokeo ya kufutwa kwa taifa la israel walifunga siku tatu bila kula
Yesu ili aanze mambo makubwa alifunga.
Paulo ili kanisa likue alifunga
Ninawi ili isiangamie walifunga.
Daniel ili watoke utumwani alifunga
Nehemia ili akafanye project ya kuijenga yerusalem alifunga
Yesu alisema kuna ishu ili utoboe ni lazima uchanganye maombi na mfungo
Matendo ya Mitume 13:3Yesu alisema wapi?
Mimi ni Mtheolojia ndugu
Ile math. 17:21 ni mstari ulioongezwa na watu.
Na umeliathiri kanisa la leo.
Yesu mara ya kwanza tu anawapa wanafunzi amri na mamlaka juu ya Pepo (nguvu zote za giza) baadaye hawezi kuwaongezea mzigo mwingine.
Kufunga sio dhambi ila ule mstari munaomsingizia Yesu kausema ni watu waliuongeza kwa utashi wao.
Mimi kwa mwaka naweza kufunga mara Moja, mbili au nisifunge hata mara Moja na ninapiga battle kubwa kubwa na kuziwin.
Roho mtakatifu anatosha
Bro, zungusha ringi uwezavyo. Lakini ukweli utabaki pale pale. Utajiri ni PESA. hizo unazoita makaratasi.We bado mtoto sana unayeipima utajiri kwenye angle ya makaratasi(Tsh). Akina Mansa Mussa, Suleiman and cos tunaoambiwa ndio matajiri hawakuwa na hizo karatasi. Pia term utajiri kila mtu ana angle yake ta kulitafsiri. Pole yako.
Kila mmoja na wito wake na Imani yake.Matendo ya Mitume 13:3
Ndipo wakiisha kufunga na kuomba, wakaweka mikono yao juu yao, wakawaacha waende zao.
Mbona mitume walimuelewa Yesu wakapractice.
Mimi sio mtheolojia (taalimungu) ina naamini katika mafunuo na maandiko.
Kufunga japo sio njia pekee lakini no moja ya maagizo ya maandiko.
Naamini kuongozwa na neno ni salama zaidi sio unachofanya hata kama kinaleta tokeo. Hata huyo roho aliahidiwa kutuongoza kuishika kweli yote. Miongoni mwa watu ambao Yesu atawakana ni waliodhani matokeo ya matendo yao ni tiketi ucha Mungu wao.Kila mmoja na wito wake na Imani yake.
Binafsi hata nikihubiri mikutano ya nje nawafungua watu bila kuweka mikono juu yao ingawa agizo ni kuweka mikono.
Mwingine anaamini bila kuweka mkono wake mahali panapomuuma mgonjwa uponyaji hauji , mwingine anaamini neno lake tu linatosha.
Maadamu wote tunampenda na kumwamini Yesu good
Ushoga una ingiaje hapa?Hawaamini lakini wanapokuta na uhalisia hata kama sio wao ndugu zao wanatusumbua.
Atheism ni ulimbukeni mwingine duniani ambao ni mbeleko ya ushoga na upotezwaji wa mwelekeo wa maadili ulimwenguni.