matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.
Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.
Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.
Ni hayo tu.
Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.