matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ukisema siyo wayahudi wa kweli! Tuonyeshe wayahudi wa kweli, wako nchi gani?Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.
Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.
Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.
Ni hayo tu.
Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.
Waokolewe na nini?Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.
Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.
Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.
Ni hayo tu.
Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.
Yesu.Waokolewe na nini?
Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua Yesu waokolewe.
Maana pasipo kumuamini Yesu unakoswa njia ya kuingia mbinguni.
Nimeona kuna ushabiki mkubwa hadi makanisani. Watu badala ya kutembea na bendera ya nchi wanayembea na tubendera twa israel ambao hawamjui Yesu. Kwana hakuna ushahidi kama hao ni waisrael kweli wa kwenye maandiko.
Ni hayo tu.
Ukielewa basi mfahamishe na mwenzako.
Wayahudi wa Kweli, ni wale wanaompoea Yesu kama Bwana na mwokozi wao.Ukisema siyo wayahudi wa kweli! Tuonyeshe wayahudi wa kweli, wako nchi gani?
Yesu si ndo anaokoa...anaokoa watu kutoka kwa niniYesu.
Yesu sio myahudi.
DhambiYesu si ndo anaokoa...anaokoa watu kutoka kwa nini
Mambo ya kiroho ndo Nini wewe😂yaani wayahudi sio wayahudi Tena... wale watabaki kuwa wayahudi.. Imani yako haijalishiWayahudi wa Kweli, ni wale wanaompoea Yesu kama Bwana na mwokozi wao.
Hao wakibaiolojia umuhimu wao uliosha baada ya Yesu kufufuka. Hawa tunaowaona waliowaweka hapo ndio wanajua walikowatoa. Hata hivyo hata wakiwa ndio wenyewe, hawana umuhimu wowote kiroho labda kama historical site tu ya kwenda kushangaa mambo ya zamani.
Mbona bado Kuna dhambi? Na dhambi ni Nini? Na why unahitaji uokolewe? Kuokoa ni kumtoa mtu kwenye hatari? Hio hatari ni ipi? Nani kafanya iwe possible? Na kwa Nini huyo huyo ndo anataka atuokoe Tena?🥺huu unafkiDhambi
😴Maria alikuwa mchina kwako au sioYesu sio myahudi.
Maana hakuzaliwa kwa mbegu za kiyahudi ni kwa Roho mtakatifu. Wayahudi ni walezi wake tu.
Kibailojia Yesu sio myahudi.
Mtumishi haelewi kitabu cha ufunuo. Anakitafsiri kimwili.
Yesu aliingia kwa Maria kwa uwezo wa roho mtakatifu. Maria alikuwa kama medium tu ya kutimizia kusudi la Mungu kuzaliwa kupitia mwanadamu. Alipata hiyo heshima ya kubeba hilo jukumu. Maana kulikuwa na mabikra wengi.😴Maria alikuwa mchina kwako au sio
Anaokoa wanaotaka. Mwanadamu ni kiumbe cha hiyari. Haukolewi kwa shuruti, unaokolewa kwa kupenda na kuchagua.Mbona bado Kuna dhambi? Na dhambi ni Nini? Na why unahitaji uokolewe? Kuokoa ni kumtoa mtu kwenye hatari? Hio hatari ni ipi? Nani kafanya iwe possible? Na kwa Nini huyo huyo ndo anataka atuokoe Tena?🥺huu unafki
Sawa.Mambo ya kiroho ndo Nini wewe😂yaani wayahudi sio wayahudi Tena... wale watabaki kuwa wayahudi.. Imani yako haijalishi
Ufunuo 2:9Ukisema siyo wayahudi wa kweli! Tuonyeshe wayahudi wa kweli, wako nchi gani?
Mama yake Yesu ni mwarabu, kwahiyo Yesu ni mwarabuYesu sio myahudi.
Maana hakuzaliwa kwa mbegu za kiyahudi ni kwa Roho mtakatifu. Wayahudi ni walezi wake tu.
Kibailojia Yesu sio myahudi.
Mtumishi haelewi kitabu cha ufunuo. Anakitafsiri kimwili.