Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

Mama yake Yesu ni mwarabu, kwahiyo Yesu ni mwarabu
Kha! Mwarabu atoke wapi nchini Israel enzi hizo!!! Mariam ni uzao wa mfalme Daudi kupitia mtoto wake Nathan, waarabu wote waliopo Israel ni wavamizi kuanzia karne ya saba hadi walipowafukuza wayahudi wakasambaratika. Nchi ya mababu zao Haki yao. Sawa na wamarekani weusi waamue kurudi Afrika tofauti sisi na wao damu moja,
 

Ndugu shabiki Abaluhya FC - Murembe?!
 
Acha uhuni according to bible uzao wa Joseph (baba ake Yesu) ndo zote hizo zenye Jacob na heli kama baba yake...Mary hajatajwa uzao wake acha uhuni na kutetea ujinga wa kwenye bible...Solomon na Nathan wote wametajwa katika uzao wa Yesu kutoka kwa Joseph...
 
Ukisema siyo wayahudi wa kweli! Tuonyeshe wayahudi wa kweli, wako nchi gani?
Ila na ww unaandika kama Maamuma.Unajua hata Tanzania ukitaka uonyeshwe watanganyika wa ukweli ambao wajwrumqni waliwakuta.Hawapo walishakufa.Ina maana sisi siyo watanganuika wa ukweli.Jamani tuache kiwaza kwa kutumia matako
 
Huu ni UHARO kabisa yaani unataka kuniambia tuwapigie vigeregere waarabu waliobaki watu,Kuświka watu mateka na kufanya mauaji ya Oct 07,2023? Huo utakuwa ujinga na upumbavu namba moja duniani. Kuhusu kumjua au kutokumjua Yesu hakukufanyi waarabu kuhalalisha waliyoyafanya Oct 07,2023.
 
Basi ngoja tuwashabikie Hamas ambao ni wasi niwa Islamu
 

View: https://x.com/daliaziada/status/1892747464932794559
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…