Tetesi: MKT wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Kuanza Ziara ya Ulaya na US Kupitia Dubai 28/08/2016? !.

Mbowe kwa sasa anabuni sababu ya kuahirisha maandamano...kalagabaho...kibwetere...ngoja tar.1 ili aumbuke.
 
sio mwanachadema hadi ntakapokufa ila Mbowe usipilifanya nakulisimamia hili likawa kama mlivyopanga hakika utakuwa unacheza na akili za wanachama wako
 
Nilikuwa nadhani yule mwanamke niliyemwacha kutokana na tabia zake za kimbea ni kubuhu kwenye hizo tabia.
Ila Leo nimegundua huyu Pasco ni Kubuhu wa wambea. Sijui kama kuna mwanaume atakayemchumbia
Dogo umepanik,kwani unaamini ukutani?ngoja Mbowe awatengeneze.
 
Hahahaha, kazi kwelikweli. Jamaa anataka afuatilie maandamano huku akiwa anapunga upepo mwanana dubei. Hii nchi ina safari ndefu mpaka tupate uzalendo na demokrasia ya kweli siyo jambo jepesi kama hawa ndiyo aina ya viongozi tunaowatarajia....


Natoa RAI mbowe asipoongoza maandamano Watz tusipoteze muda na maisha yetu...
 

Mnafiki at work
 
Pasco asubuhi kaongea ya msingi kageuka huku analeta umbeya badala tushirikiane kuwashangaa wanaovunja msingi wa katiba yetu mnaleta propaganda
 
Hii itakuwa imeandaliwa na watu Fulani ili kuwaharibu wanachama wa chadema kisaikolojia wasishiriki.naomba Mbowe ujitokeze haraka kwenye vyombo vya habari kukanusha hili na uwaambie wanachama wako kuwa uko mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Udikteta.
 

Nice presentation, akiondoka imekula kwake na Kadi narudisha
 

Kuna upuuzi mwingine haupaswi kupuuzwa, ila sio huu.
 
Sidhani kama Mbowe anaweza kujishushia heshima kwa makusudi kwa kiwango unachajaribu kutuelezea.
Kwa hiyo tumtegemee siku hiyo FRONT LINE yeye na familia yake???(ndiyo njia pekee ya kupandisha heshima yake) vinginevyo tutamdharau tu.
Ila atakayekodishwa kukaa front kuongoza huo "ukuta" tunamkumbusha kuwa pesa atakayopokea kwa kukodishwa itaishia kwenye kujiuguza majeraha ya buti na virungu halafu atakuta UKUTA umegeuka kuwa UKATA.
 
Nyie waandishi uchwara mnatia aibu taaluma ya uandishi wa habari.Unaleta habari kama vile wamama wanasutana mtaani.Umbeya mtupu.MTU mzima unaokotaje habari kijiweni halafu unaleta humu kwa ma great thinkers?habari kama hizo zipeleke nyumbani kwako
Pasco
 
Yeye aende tu si wapo misukule waliogeuza vichwa vyao kuwa vitalu vya kuoteshea nywele.

Hao makamanda uchwara wasiojielewa ndo wataangushiwa jumba bovu.

Machar naye kakinukisha Juba halafu kaenda kutalii DRC.
Misukule ni hawa wanaoagizwa na Magu kutuzuia tusidai haki yetu ambayo ni haki yao wao pia Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…