DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 403
- 386
Kweli kaka nahisi ataenda uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nice presentation, akiondoka imekula kwake na Kadi narudisha
Kaishashikwa maskio huyo!!!!Pasco, mbona umekuwa mtu wa kutunga habari siku hizi!!!
Unamtumikia nani?
😀😀😀😀Kuanzia sasa sifungui uzi wowote uliletwa na pasco labda ubadri ID hataivo nitajua mwandiko
mbona kamanda anatimka. anaogopa kufia mstari wa mbele kama jonas savimbi. yule mpenda madaraka na mpinga maendeleo wa angola aliyepigania urais hadi kufa kwenye uwanja wa vita kule cuando cubango angola.Wanabodi,
Naomba kuanza uzi huu kwa ku declare my interest kuwa Mimi Pasco wa JF, naunga mkono maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima na siku ya siku, nitajitokeza kushiriki na nitatoa wito wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili, tujitokeze kwa wingi! .
Niko kwenye kijiwe fulani hapa mjini kati, jijini Dar es Salaam, nikainasa ndogondogo kuwa wakati chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, kiko kwenye maandalizi ya maandamano na mikutano nchi nzima kuhamasisha UKUTA, siku ya Tarehe 1 September 2016, habari ambazo hazijathibitishwa, zimeeleza kuwa, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, yuko kwenye maandalizi ya mwisho mwisho kuanza ziara binafsi ya Ulaya na Marekani kupitia Dubai. Ziara hiyo umeelezwa kuwa pia itahusisha matibabu, uchunguzi wa afya na mapumziko mafupi mjini Dubai. Mtoaji wa taarifa hiyo isiyothibitishwa, imesema ziara hiyo ni binafsi, ya kifamilia na ya kibiashara.
Mtoa habari huyu alijitambulisha rasmi kama mkereketwa wa Chadema, na kutaja majina yake, lakini kufuatia habari hizi bado hazijathibitishwa rasmi na uongozi wa Chadema, naomba nisilitaje jina la mtoa habari wangu chini ya kinga ya kihabari iitwayo "the confidentiality of the source " mpaka habari hizi zitakapothibitishwa au kukanushwa.
Kufuatia source wa habari hii sio a trusted source ndio maana habari hii ina lebo ya tetesi, ikiishatibitishwa, neno tetesi litaondolewa! . Sii mara moja wala mbili kwa tetesi mbali mbali kushuka jf na baadae zikathibitishwa au kukanushwa! .
Hii sii mara ya kwanza kwa kiongozi Mkuu wa Chadema kuanzisha maandamano lakini siku ya siku haongozi harakati hizo na badala yake huwa safarini kikazi au kibinafsi hivyo kuwaachia wengine waliopo.
Lengo la kuileta habari hii humu jf hata kabla haijathibitishwa ili ile jf spirit ya "be the first to know! ".
Ikitokea ikathibitika habari hii sii ya kweli bali ni uzushi tuu, nitamuomba mode, asiufute uzi huu bali aufunge tuu kusubiria hiyo tarehe 1 September tuthibitishe this time around, Mwenyekiti atakuwepo kuongoza maandamano.
Lengo la kuomba uzi usifutwe bali ufungwe tuu, ni kufuatia posibility ya Chadema kuikanusha taarifa hii kuwa sii kweli lakini siku ya siku ikaelezwa Mwenyekiti amepata safari ya dharura.
Pasco.
Hutaona Kilimanjaro wameshikishwa ukuta.Hahahahahah huyu mchaga mjanja sana.. Kuna watu watabaki na ulemavu wa kudumu yeye anaenda kula bata mbelez.. Msheambiwa kibiriti cha gesi akitingishwi.. Tusubiri nyumbuz watapokuja kuhesabiwa siku ya siku pale MOI.
Makamanda wamechafukwa.Mnaonaje mkasubiria tar 28 ili mpate majibu na kuja kumtukana huyu Pasco? Hii ni tetesi na ameshasema inabaki kuwa tetesi mpaka tar 28, sasa matusi yote haya ni ya nini? Je ikitokea kweli Mh. Mbowe akasafiri kwa matibabu kweli kwani afya yake ni muhimu kuliko hayo maandamano mtakuja kumuomba radhi Pasco?
Hamjifunzi kwa Dr. Slaa? zilikuja tetesi watu wakatukana ilipotimia kila mtu kimya.
Inawezekana Pasco siku hizi ushageuka kuwa muongo ila kwakuwa ni tetesi sitakuhukumu; labda niseme hili moja tu kwamba atakayetoka barabarani siku hiyo ni kwa hasara yake na familia yake. Upinzani wetu huu wa uchumia tumbo sio wa kuupa uhai wako au kiungo cha mwili wako; yet siasa ni mchezo mchafu ukiamua kuucheza lazima ujue utachafuka na kwa maana hiyo sijui kelele ni za nini kama uongozi unawamwagia tope, si hata wao wangekuwa madarakani wangeleta michezo michafu kuliko hata hiyo wanayoilalamikia? Hebu tuwape kijimda walioko madarakani wafanye klle walichoahidi wakishindwa si kila mtu atajua tu wameshindwa? na hapo si watageukia upinzani kwa point bila mashinikizo? wakati wote muda/wakati ni mwalimu mzuriWanabodi,