Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.

Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?

Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
 
Umri sio sababu kuna Jambo tusilolijua ila Sakata la NDUGAI linawahusu hao Wazee 2

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kaachwa ndio lkn wizara yake unaijua yaitwaje ?

Kazi maalum ofisi ya raisi
 
Mtu unayesema umri umempita unampa kazi ya kuchambua mikataba yote ya serikali si hatari ipo kazi ya ofisi yamwanasheria mkuu
 
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.

Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?

Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Wewe unganisha hotuba za Rais utajua ana maana gani. Hao ni tishio kwake
 
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.

Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?

Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Dahh... Yani Mama angejua anavyotuchanganya..

Mbona kama kumpigania Mama inataka kuwa kazi ngumu sana!??
 
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.

Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?

Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
kabudi na lukuvi wamechotwa tu akili ila ni wazi wanawekwa chini ya uangalizi.
Umri sio sababu kuna Jambo tusilolijua ila Sakata la NDUGAI linawahusu hao Wazee 2

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Wametupwa kiakili.
 
tulia kijana siasa ni sayansi, kwaiyo wewe sababu alizosema Samia unazichukulia serious?
Unatufundisha tupuuze kauli za Rais? Huoni hatari iliyopo mbele ya nchi yetu tukimpuuza?
 
Back
Top Bottom