Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

Pale Ikulu kazi pekee ambazo mtu unaweza kupewa pasipo umma kutaarifiwa ni kazi za ndani kama Upishi, Udobi, Ufagiaji, kutengeneza bustani, ulinzi wa getini nk.

Sasa ndio kusema hawa wanaume wazee (Lukuvi, Kabudi) wanakwenda kupewa hizo kazi na yule mama?

Hii ni dharau kubwa sana.
Nawashauri wasipende kula wala kunywa wawapo huko ofisini
 
Mkuchika ni mzee zaidi ya William Lukuvi na Prof. Kabudi. Inakuwaje huyu mzee abakie barazani?
FB_IMG_1641837915269.jpg
FB_IMG_1641837903948.jpg
FB_IMG_1641837910011.jpg
 
Kabudi, Lukuvi pamoja na Nugai wanauzoefu zaidi hivyo wamekwisha pewa kazi maalum ya kumshauri Mkuu wao kuwaongoza hao vijana akina Mkuchika hapo hujalewa tu?.
 
Kwani mkuchika anautaka urais 2025?
 
Nashangaa Philemon Kuamkia Maiti "Shikamoo "

Jamani mnashindwa kuunganisha matukio?

Hapa mama ametumia cheap propaganda.

Juzi kati alisema kuna watu atawaacha ili wakajiandae na 2025!

Tafsiri yake ni kwamba, hao wakioachwa, ndiyo walikuwa wanajiandaa na 2025.

Muda ni msema ukweli. Baada ya miezi miwili tutamuuliza Kabudi na Lukuvi, vipi mnashirikishwa? "Watajibu ndiyo, tunaendelea na kazi vizuri" hata kama hawashirikishwi, na ndio maana wamepewa vyeo ambavyo havimo kwenye muundo. Wakijibu hapana, ina maana majina yatakatwa 2025.

Siasa ni mchezo mchafu!

Jiulize. Kabudi anapewa cheo ambacho hakipo kwenye muundo, je, atawezaje kwenda kuanzisha majadiliano na wawekezaji wakati kuna watendaji wa wizara husika?

Kwa cheo hicho, tafsiri yake ni kwamba, kwa sasa Kabudi ni mtumishi wa wizara inayohusika na wawekezaji! Na atakuwa anaagizwa na waziri husika!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuchika has follow up medical check ups at Apollo in India, he has to stay on government welfare roll
 
Ukiangalia picha nzima na ukatumia akili yako kwa asilimia 100% utapata jambo na kulifahamu........ Toka Mama alipo kuwa VICE PRESIDENT na hadi kuwa PRESIDENT sasa walio wengi ndani ya CCM specially wale walio kuwa hard core wa MAGUFULI walim mchukulia mvaa USHUNGI tu hana anacho jua kumbe wao ndio hamna kitu kwenye ulingo wa SIASA tena SIASA hii ya TANZANIA na CCM yk wamebaki wanatumbua macho na Ujeuri ambao hauna athari yoyote wanazo weza leta.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia deep state ndio kina mkuchika sasa,

Hivi Labda wajuvi wa mambo waje?
Huyo Mkuchika kiumri ni wa kawaida sana ukilinganisha na wengine jwenye Nchi hii...
Kazaliwa 1948
Tunapata Uhuru yeye Bado anassoma tena Shulevya Msingi!
Sasa Kuna ambao tunapata Uhuru wanaanza Kazi...Wameshaajiriwa,wengi tuu...
Kwa Uchache kina Msekwa,Malecela nk nk!
Sada kusema anajua siri za Nchi kivipi?Basi tuu kubebana na Kuoneana Aibu!
Kuna Makatibu wakuu kadhaa tena wa Ikulu Toka Enzi ya Nyerere wengine Enzi ga Mwinyi na Mkapa wapo hao ndio wanajua Siri za Nchi sasa yeye kipi Special?
Kwanini hamuwapi Vijana?
Wazee wametengeneza Vijana wazuru tuu serikalini!
Ni Kama leo Kina Pascal Mayalla alivyotengenezwa na Kina Prof shivji Kabudi nk.
Kwa Mtu aliezaliwa juzi anaweza Kumuona Mkuchika ndio Mzee kuliko woooote Serikalini au waliokuwepo Serikalini.
Ni Fursa tuu na Kujuana.
Wapo “Wazee” lakini hawajapewa nafasi kama yeye “exposure”
Ni Mfano Kumpa Uwaziriwa Mambo ya Nje Yule mama na Kuamini ana Uzoefu hakuna tena Hakuna Mwenye Uzoefu Kama yeye[emoji51][emoji51]
Ukisema hivyo Hujui Uongozi...Wapo Vijana wazuri tuu tena wazoefu Open minded!
Nanukuu...
Aliwahi sikika Job ndugai akisema wapeni vijana Fursa wale bright wawe mbele kwenye Mikataba,wengine wakae nyuma...
Sema watu wanapeana tuu wanawaacha vijana 40-50 yrs na Kuwachukua hao 70s.
 
Unaweza kuwa mwana familia ila usijue Siri za familia akaja kuzijua mtoto wako kwaiyo kuwa sehemu si kigezo cha kujua vitu
 
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.

Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?

Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Shida Mama mdomo uko faster.
 
Back
Top Bottom