Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #21
Kivipi MkuuUmri sio sababu kuna Jambo tusilolijua ila Sakata la NDUGAI linawahusu hao Wazee 2
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi MkuuUmri sio sababu kuna Jambo tusilolijua ila Sakata la NDUGAI linawahusu hao Wazee 2
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Binafsi nilijua tu ile ni kauli kama zilivyo kauli zingine kwenye SIASA, Kabudi na Lukuvi vichwa vimekwenda na maji.tulia kijana siasa ni sayansi, kwaiyo wewe sababu alizosema Samia unazichukulia serious?
Ameona awaondoe wasije kutia niaMama anaishi kwa hofu sana.
Kuna mtu anamtaka lazima awe sipika.
Ila huyu Rais achunge Sana ulimi wake. Alisema Kuna homa ya urais kuelekea uchaguzi wa 2025 na kudai kuvunja Baraza la Mawaziri. Hapa hakulivunja bali kalifanyia badiliko dogo. Tena kasema humo barazani Kuna Mawaziri wanasuka mpango huo wa urais. Leo Kama vile hizi kauli hakuzitoa. Asituone Watanzania wote WASHENZI kwa kutuletea kauli tata za kuigawa nchi.Mama anaishi kwa hofu sana.
Kuna mtu anamtaka lazima awe sipika.
DuuuhhAmeona awaondoe wasije kutia nia
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Kaachwa kwakuwa ni mgonjwa wanataka afie hapo kaziniRais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
kabudi na lukuvi wamechotwa tu akili ila ni wazi wanawekwa chini ya uangalizi.
😅😅😅 Samia Leo katuacha hoi aseePale Ikulu kazi pekee ambazo mtu unaweza kupewa pasipo umma kutaarifiwa ni kazi za ndani kama Upishi, Udobi, Ufagiaji, kutengeneza bustani, ulinzi wa getini nk.
Sasa ndio kusema hawa wanaume wazee (Lukuvi, Kabudi) wanakwenda kupewa hizo kazi na yule mama?
Hii ni dharau kubwa sana.
Tell meUnafahamu lakini majukumu ya huo uwaziri wake pale Ikulu....na unajua kwanini yuko ikulu pale....?
Anaweza hata wakiwa mbaliAnawaweka jirani ili iwe rahisi kuwa monitor.....
Hao ndio tishioRais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Hata wao wamebaini hiliDanganya kubwa iyo inaitwa tunafahamu kawatoa kwa Mlengo 2025
Ana PhD ya propaganda😅😅😅 Samia Leo katuacha hoi asee