Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Umri sio sababu kuna Jambo tusilolijua ila Sakata la NDUGAI linawahusu hao Wazee 2Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
wakubwa tumeshaelewa,Anawaweka jirani ili iwe rahisi kuwa monitor.....
Kaachwa ndio lkn wizara yake unaijua yaitwaje ?Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
imeisha iyo😅😅😅😅kabudi na lukuvi wamechotwa tu akili ila ni wazi wanawekwa chini ya uangalizi.
Wewe unganisha hotuba za Rais utajua ana maana gani. Hao ni tishio kwakeRais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Dahh... Yani Mama angejua anavyotuchanganya..Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Embu tujuze kidogoUnafahamu lakini majukumu ya huo uwaziri wake pale Ikulu....na unajua kwanini yuko ikulu pale....?
Mkuchika je?Zamu ya vijana hii!!wazee watarudisha nyuma marndeleo!!
Hotubani kadai anawapa majukumu mengine IkuluWewe unganisha hotuba za Rais utajua ana maana gani. Hao ni tishio kwake
Umri wake ni mkubwa kuliko Lukuvi na KabudiKaachwa ndio lkn wizara yake unaijua yaitwaje ?
Kazi maalum ofisi ya raisi
Na sio kumonita Mawaziri vijana?Anawaweka jirani ili iwe rahisi kuwa monitor.....
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
kabudi na lukuvi wamechotwa tu akili ila ni wazi wanawekwa chini ya uangalizi.
Wametupwa kiakili.Umri sio sababu kuna Jambo tusilolijua ila Sakata la NDUGAI linawahusu hao Wazee 2
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Unatufundisha tupuuze kauli za Rais? Huoni hatari iliyopo mbele ya nchi yetu tukimpuuza?tulia kijana siasa ni sayansi, kwaiyo wewe sababu alizosema Samia unazichukulia serious?