Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #41
Nawashauri wasipende kula wala kunywa wawapo huko ofisiniPale Ikulu kazi pekee ambazo mtu unaweza kupewa pasipo umma kutaarifiwa ni kazi za ndani kama Upishi, Udobi, Ufagiaji, kutengeneza bustani, ulinzi wa getini nk.
Sasa ndio kusema hawa wanaume wazee (Lukuvi, Kabudi) wanakwenda kupewa hizo kazi na yule mama?
Hii ni dharau kubwa sana.
Anaumwa niniKaachwa kwakuwa ni mgonjwa wanataka afie hapo kazini
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mkuchika bado ni kijana, ana 40 years oldMkuchika ni mzee zaidi ya William Lukuvi na Prof. Kabudi. Inakuwaje huyu mzee abakie barazani?View attachment 2076240View attachment 2076241View attachment 2076242
Ameona awaondoe wasije kutia nia
Hivi mtu akiwa mwanachama wa kawaida hana haki ya kutia nia?Ameona awaondoe wasije kutia nia
Sijakuelewa
Nashangaa Philemon Kuamkia Maiti "Shikamoo "
Ukisikia deep state ndio kina mkuchika sasa,
Unaweza kuwa mwana familia ila usijue Siri za familia akaja kuzijua mtoto wako kwaiyo kuwa sehemu si kigezo cha kujua vituHivi Labda wajuvi wa mambo waje?
Huyo Mkuchika kiumri ni wa kawaida sana ukilinganisha na wengine jwenye Nchi hii...
Kazaliwa 1948
Tunapata Uhuru yeye Bado anassoma tena Shulevya Msingi!
Sasa Kuna ambao tunapata Uhuru wanaanza Kazi...Wameshaajiriwa,wengi tuu...
Kwa Uchache kina Msekwa,Malecela nk nk!
Sada kusema anajua siri za Nchi kivipi?Basi tuu kubebana na Kuoneana Aibu!
Kuna Makatibu wakuu kadhaa tena wa Ikulu Toka Enzi ya Nyerere wengine Enzi ga Mwinyi na Mkapa wapo hao ndio wanajua Siri za Nchi sasa yeye kipi Special?
Kwanini hamuwapi Vijana?
Wazee wametengeneza Vijana wazuru tuu serikalini!
Ni Kama leo Kina Pascal Mayalla alivyotengenezwa na Kina Prof shivji Kabudi nk.
Kwa Mtu aliezaliwa juzi anaweza Kumuona Mkuchika ndio Mzee kuliko woooote Serikalini au waliokuwepo Serikalini.
Ni Fursa tuu na Kujuana.
Wapo “Wazee” lakini hawajapewa nafasi kama yeye “exposure”
Ni Mfano Kumpa Uwaziriwa Mambo ya Nje Yule mama na Kuamini ana Uzoefu hakuna tena Hakuna Mwenye Uzoefu Kama yeye[emoji51][emoji51]
Ukisema hivyo Hujui Uongozi...Wapo Vijana wazuri tuu tena wazoefu Open minded!
Nanukuu...
Aliwahi sikika Job ndugai akisema wapeni vijana Fursa wale bright wawe mbele kwenye Mikataba,wengine wakae nyuma...
Sema watu wanapeana tuu wanawaacha vijana 40-50 yrs na Kuwachukua hao 70s.
Shida Mama mdomo uko faster.Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.