johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani Jafo kapelekwa wapi? Maana Madam President amesema hajamwacha mtu!Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa mzee Kawawa
Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri " kiraka"
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Itakuwa kitengo cha umbeaWakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa mzee Kawawa
Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri " kiraka"
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Kaswap na UmmyKwani Jafo kapelekwa wapi? Maana Madam President amesema hajamwacha mtu!
Kingunge ngombare Mwiru enzi za JKWakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa mzee Kawawa
Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri " kiraka"
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani asharudi toka India?Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa mzee Kawawa
Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri " kiraka"
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Masikini ya Mungu wewe bado wamekutupa tu pamoja na kujipendekeza kote kwa jiwe,loooooo
Prof Mwandosya nae aliwahi kupewa hiyo wizara enzi JK pia
anaenda kuungana na wakina bashiru msukuma na kibajaj kusema ndiooooKwani Jafo kapelekwa wapi? Maana Madam President amesema hajamwacha mtu!
Spika Makinda: Wanafiki Waseme Ndiyo!anaenda kuungana na wakina bashiru msukuma na kibajaj kusema ndioooo
Kamstahi masna kaishazeekaWakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa
Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Amesha rudi kutoka India?Kule Tanga wanamkumbuka sana kuhusu usafiri wa dala dala!
Hizi online trolling na abuse hupelekea suicide.Masikini ya Mungu wewe bado wamekutupa tu pamoja na kujipendekeza kote kwa jiwe,loooooo
Tuanze kwa wenye akili siyo huyo chumia tumbo aliyefukuzwa kutoka cdm kwa udokoziHizi online trolling na abuse hupelekea suicide.
Tujitahidi kupunguza.
Alirudi na alikuwa dodoma hospital mpaka siku anaagwa jiwe, huyu mzee wa newala alikuwa mahututi kitandani,. Ngoja nipeleleze tena hali yake ikojeKwani asharudi toka India?