Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

Alirudi na alikuwa dodoma hospital mpaka siku anaagwa jiwe, huyu mzee wa newala alikuwa mahututi kitandani,. Ngoja nipeleleze tena hali yake ikoje
Jitahidi tupate updates mkuu pls
 
Ngoja kwanza yule afisa kipenyo kumuingia ni mpaka alewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasikia anapenda sana kitonga na kama ni hivyo mpige za kutosha aanze kufunguka turbo
 
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
WakatI wa JK alikuwa Kingunge pia Kahama kama sijakosea.
 
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Ukiacha awamu ya kwanza na ya nne, miaka yote yule rais wa kule akija huku anakuwa nani?
 
Back
Top Bottom