Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.

Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.

Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.

Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili suala. Na anabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.

Majura ,anasumbuliwa zaidi na Ego inamtesa .

Nb kusoma kunahitaji mahusino mazuri baina ya wanafunzi na walimu wao hata

Hao lectures wengine baada ya kuripotiwa Jamiiforum wamepelekwa Zanzibar.

Nawasilisha.
 
Mimi kama majura
Ukitaka kunichoma fuata utaratibu na si kiandika Jamii forums

Unavyosema hatutapata wanafunzi tena chuoni hapo nimeona kama unataka nifaulishe wanafunzi ambao hawapo compitent

Ila ndio life skills, katika safari ya maisha utakutana na watu kama mimi
Hakuna kulia lia kama mtoto
Kaza msuli
😁
 
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.

Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.

Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.

Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili swala la kufelisha wanafunzi makusudi .

Na mwisho mnabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.

Majura anafelisha wanafunzi makusudi na kutamka hadharani kuwafaelisha wanafunzi uku akitumia lugha chafu na kutawaliwa na Ego.

Nawasilisha.
We mpumbavu badala ya kujisomea unakuja kutafuta sympathy JF? JF haiwezi kukusahihishia mtihani kamwe.

Pia suala la wanafunzi kutokwenda kusoma hicho chuo kwa nini linakupa wewe uchungu? Kwani chuo mali yako wewe? Acheni uzembe vijana
 
Mimi kama majura
Ukitaka kunichoma fuata utaratibu na si kiandika Jamii forums

Unavyosema hatutapata wanafunzi tena chuoni hapo nimeona kama unataka nifaulishe wanafunzi ambao hawapo compitent

Ila ndio life skills, katika safari ya maisha utakutana na watu kama mimi
Hakuna kulia lia kama mtoto
Kaza msuli
😁
Ngoma inogile teacher unamfuata mfuasi adi jamii forum, hakuna kukimbia ishu ni akaze msuli nimeipenda hii.
 
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.

Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.

Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.

Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili swala la kufelisha wanafunzi makusudi .

Na mwisho mnabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.

Majura anafelisha wanafunzi makusudi na kutamka hadharani kuwafaelisha wanafunzi uku akitumia lugha chafu na kutawaliwa na Ego.

Nawasilisha.
Yaan mfeli kwa uzembe wenu mje kunilaumu huku mtandaoni.

Jiandaeni na Sapu za kutosha this semister.
 
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.

Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.

Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.

Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili swala la kufelisha wanafunzi makusudi .

Na mwisho mnabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.

Majura anafelisha wanafunzi makusudi na kutamka hadharani kuwafaelisha wanafunzi uku akitumia lugha chafu na kutawaliwa na Ego.

Nawasilisha.
Bila shaka haombi mbususu, nilitarajia kuona huo ubabe kama ni chambo ya kula totoz za afumbili
 
Yaan akili yako ni ndogo sana mkuu na ww ndio wale ambao hujihisi ni bora kuliko wengine....neno tegemeeni kupata idadi ndogo ya wanafunzi ni shutuma ya ulofa...serikali ilishawahi futa baadhi ya vyuo hapa Tanzania na kila mwanachuo ajue atapopata chuo kingine..sasa wewe mmoja tu ni nani hapo Mwalimu Nyerere...? Mfano ukatoka hapo chuo kitakufa? Unajua kilianza na wanafunz wangapi?
 
Bila shaka haombi mbususu, nilitarajia kuona huo ubabe kama ni chambo ya kula totoz za afumbili
The guy is too arrogant and stubborn

Ebu fikiria anatunga mtihani kuandika sifa za sentensi then anasema wamefeli mtihani Kama huo

Mm nimeajiriwa hapa chuoni Ila nimeamua kuwatetea wanafunzi maana nafanya Kazi chuoni hapa

Na chuo kimeanza kukosa wanafunzi sasa Kama unavyojua waswahili huwa hatuna vision ya kutazama side effects za ujinga wa MTU huwezi ukawa mkubwa kuizidi taasisi hiyo haiwezekani .
 
Mimi kama majura
Ukitaka kunichoma fuata utaratibu na si kiandika Jamii forums

Unavyosema hatutapata wanafunzi tena chuoni hapo nimeona kama unataka nifaulishe wanafunzi ambao hawapo compitent

Ila ndio life skills, katika safari ya maisha utakutana na watu kama mimi
Hakuna kulia lia kama mtoto
Kaza msuli
😁
Kimeumana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom