Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.

Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.

Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.

Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili swala
Na anabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.

Majura ,anasumbuliwa zaidi na Ego inamtesa .

Nb kusoma kunahitaji mahusino mazuri baina ya wanafunzi na walimu wao hata

Hao lectures wengine baada ya kuripotiwa Jamiiforum wamepelekwa Zanzibar.

Nawasilisha.
Kwenye list yako mbona mwakaronge ameshamishiwa zenji?
 
The guy is too arrogant and stubborn

Ebu fikiria anatunga mtihani kuandika sifa za sentensi then anasema wamefeli mtihani Kama huo

Mm nimeajiriwa hapa chuoni Ila nimeamua kuwatetea wanafunzi maana nafanya Kazi chuoni hapa

Na chuo kimeanza kukosa wanafunzi sasa Kama unavyojua waswahili huwa hatuna vision ya kutazama side effects za ujinga wa MTU huwezi ukawa mkubwa kuizidi taasisi hiyo haiwezekani .
acha uongo ww ni wengi tena unasoma geo n kiswahili
 
Yaan akili yako ni ndogo sana mkuu na ww ndio wale ambao hujihisi ni bora kuliko wengine....neno tegemeeni kupata idadi ndogo ya wanafunzi ni shutuma ya ulofa...serikali ilishawahi futa baadhi ya vyuo hapa Tanzania na kila mwanachuo ajue atapopata chuo kingine..sasa wewe mmoja tu ni nani hapo Mwalimu Nyerere...? Mfano ukatoka hapo chuo kitakufa? Unajua kilianza na wanafunz wangapi?
Nakazia serikari haijawahi kupata hasara hata chuo kikidahili wanafunzi 3,hao wakufunzi wataendelea kulipwa mishahara kama kawaida.halafu wanafunzi wa dizaini hii ni wale Wala bata sana halafu hawasomi.kija afanye kilichompeleka chuo huo umbea mwingine aachane nao
 
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.

Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.

Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.

Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili suala. Na anabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.

Majura ,anasumbuliwa zaidi na Ego inamtesa .

Nb kusoma kunahitaji mahusino mazuri baina ya wanafunzi na walimu wao hata

Hao lectures wengine baada ya kuripotiwa Jamiiforum wamepelekwa Zanzibar.

Nawasilisha.
Jifunze tofauti ya lecture na lecturer. Tukirudi kwenye hoja, wahadhiri wengi wa Tz hawana exposure hivyo wana ubabe wa kijinga na kufanya mambo kienyeji.
 
Mtoa mada na wanafunzi anaowatete wangesoma UDSM wangekuwa wamisha wasemea ma lectures wote JF.
Mianafunzi yenyewe siku hizi haisomi.
 
Kua na ego ni tabia za lecturers wengi tu, ila hiyo ego kukufanya ushindwe kusoma kisa yeye hiyo sidhani kama ina ukweli.

Na ukizingatia mnakutana kwenye semister moja tu au mbili.
Hebu someni na mjue mnaishi nae vipi maana kua na ego hakuzuii ninyi kuelewa anachofundisha.

Sisi tulikua na lect alikua hivyo, mitihani yake konki na ya kukomoa ila bado watu tulipass ni kujua tu yeye analenga nini hasa, huenda wanafunzi ndio hamumuelewi.

Nilitegemea labda anawadhalilisha au kuwatukana au kuwafanyia vitendo vya hovyo, visasi na vitisho. Kama hivyo vyote hafanyi ni kuwapa pepa gumu na ninyi kuahindwa kulifanya hapo kosa lake liko wapi.

Ninyi ni wanachuo, lect katoa swali mmejibu, akawaambia mmekosa. Kwanini basi msitafute ushahidi kuonesha mmepata.??
Kusema ati swali hili nani akose, na wakati vyuoni mburula ni wengi tu wanaokosa hata maswali ya kipuuzi hiyo sio sawa.
 
Mimi kama majura
Ukitaka kunichoma fuata utaratibu na si kiandika Jamii forums

Unavyosema hatutapata wanafunzi tena chuoni hapo nimeona kama unataka nifaulishe wanafunzi ambao hawapo compitent

Ila ndio life skills, katika safari ya maisha utakutana na watu kama mimi
Hakuna kulia lia kama mtoto
Kaza msuli
😁
We mura, tena mwalimu wa kiswahili, andika competent siyo compitent!
 
Huyo Mimi ni Mwalimu wangu alinifundisha hapo Mwalimu Nyerere. kati ya 2013-2016

Hivyo namjua Vizuri.

Ni mpenda kusoma vitabu kwa Sana.

Hata uwe na urafiki naye ila kwenye Mitihani hakupi maks za Bure.

Na ukidesa mahali atakuumbua tu.

Ili uweze kufaulu Somo lake, Agana na uzembe na uvivu wa kusoma ili uende nae sambamba.

Maksi za mezani hakupi ng'oo😄

Kiufupi ni Mlokole,

Hana upendeleo,Amenyooka zaidi ya rula. Ila Mimi namsifu alinifanya nishinde library kubukua ili niende nae sambamba 😄
Ahsante sana mwanafunzi wangu
Shida kubwa ninayopitia mnaosema mazuri yangu ni wachache kuliko wanaosema mabaya yangu
Mimi ninachotaka vijana wasome wao wanataka waangalie prima donna na videm vyao halaf watoboe
 
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.

Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.

Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.

Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili suala. Na anabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.

Majura ,anasumbuliwa zaidi na Ego inamtesa .

Nb kusoma kunahitaji mahusino mazuri baina ya wanafunzi na walimu wao hata

Hao lectures wengine baada ya kuripotiwa Jamiiforum wamepelekwa Zanzibar.

Nawasilisha.
Gen Z. Soma, fuata taratibu, wasilisha "assigments" kwa wakati, wahi darasani, naa MWISHOOOO ACHA KUTAFUTA HURUMA KUFELI UNAFELI WEWE KUFUALU UNAFULU WEWE, HAKUNA CHA KUFELISHWA WALA KUFAULISHWA
WAKO KATIKA UJENZI WA TAIFA
MAJURA HAPA NAKUSALIMU
 
Back
Top Bottom