Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mimi ndiye Majura na mtanikoma wajinga nyie. Unataka kumdekea nani Chuo? Hi siyo kindergartenKama wewe sio Majura basi wewe ndio mpumbavu zaidi ya mleta mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndiye Majura na mtanikoma wajinga nyie. Unataka kumdekea nani Chuo? Hi siyo kindergartenKama wewe sio Majura basi wewe ndio mpumbavu zaidi ya mleta mada.
Utajua mwenyewe na wanafunzi wako wanaokupatia ugali.Mimi ndiye Majura na mtanikoma wajinga nyie. Unataka kumdekea nani Chuo? Hi siyo kindergarten
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka haombi mbususu, nilitarajia kuona huo ubabe kama ni chambo ya kula totoz za afumbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe chuo huendi.vipindi unakimbia assigment unacopy copy tu kwa jamaa zako.
Chuo hakifi bro we fanya yaliyokupeleka hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waweza kuta aloleta uzi huu ni rafiki wa karibu sana na Mr Majura.
Walikuwa wamekaa mahali wanapata pepsi baaaridiii, stori moja mbili tatu. Mr Majura akaanza elezea strategy zake za kufundisha na mengineyoo ...... hadi zikafika apa JF
Mashoga wanahusika vipi hapa? Mashoga waliopita shule wengi wao wanajitegemea na kujimudu wenyewe wawapo masomonii.1: Umefanya kosa kumtaja Majura kwenye kichwa cha habari halafu ndani Kuna wengine.Dhahiri weweuna jambo binafsi na Mwl. Majura na sio bure.
2: Isitoshe haujaonyesha kosa la huyo Majura na wenzake hadi mwisho wa maelezo yako, umeandika kwa hisia zaidi kuliko facts.
3: Nina mashaka umetumwa hata management ya chuo kwani pamoja na kuwasilisha ujinga wako umetoa maelekezo wapelekwe wapi.
Kundi la vijana wengi sasa hivi wana tabia kama za kishoga/malaya kutwa kulia lia na kutaka mserereko wa maisha.Vijana badilikeni halafu mkaze maisha sio lele mama.Mifumo iendele kufanya uchunguzi wa kina kwa huu ujinga na hata mtoa taarifa achukuliwe hatua ikibidi kwani masanduku ya kutoa maoni yapo kwanini aje huku aanze kuchafua watu tena kwa kuwataja majina.
Ukweli mchunguu huu.Hivi kama mtu uko bize na shule na kujisomea unakutana na lecture wapi yani?
Vijana kama umeenda kusoma kazana na shule,lecture kutaneni kwenye test na lecture sio mishe za kwenda kudai course work
Huyu wa chuo, ingekua za chini hapo sawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee
sijawahi kuona mwalimu wa kiswahili akawa mbabe
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.
Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.
Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.
Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili swala
Na anabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.
Majura ,anasumbuliwa zaidi na Ego inamtesa .
Nb kusoma kunahitaji mahusino mazuri baina ya wanafunzi na walimu wao hata
Hao lectures wengine baada ya kuripotiwa Jamiiforum wamepelekwa Zanzibar.
Nawasilisha.
Huyo Mimi ni Mwalimu wangu alinifundisha hapo Mwalimu Nyerere. kati ya 2013-2016Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.
Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe , anatumia hasira na kiburi katika kuwahudumia wanafunzi na kuwatisha.
Chuo cha Mwalimu Nyerere memorial Academy kampasi ya Kivukoni kimekuwa kikijipatia sifa ya maadili kwa miaka mingi Ila hivi karibuni kimeanza kuchafuliwa na lectures wachache Kama Majura ,Chipanda na Mwakaronge.
Naomba mkuu wa chuo Mwakalila aingilie kati na kutazama hili swala
Na anabidi kujua wanafunzi ndo mabalozi wenu hivyo mkiwanyanyasa msitegemee kupata idadi kubwa ya wanafunzi tena maana hii miaka mitatu kuanzia 2021 mmekuwa mkiharibu chuo chenu wenyewe.
Majura ,anasumbuliwa zaidi na Ego inamtesa .
Nb kusoma kunahitaji mahusino mazuri baina ya wanafunzi na walimu wao hata
Hao lectures wengine baada ya kuripotiwa Jamiiforum wamepelekwa Zanzibar.
Nawasilisha.
Ila kwa ninavyomjua Dr. Majura ,Ni mtu wa watuNaomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.