Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Mimi nimeajiriwa hapa chuoni sio Mwanafunzi waswahili unajua huwa hamna maono ya kuwaza mbali Mbona hao lectures wengine wamehamishwa baada ya kuripotiwa JF
 
We misomisondooo wewe........
 
Acha ushamba chuo kikose wanafunzi wanakimbia kwa semister 1 Au. Chuo hakifi kaka mtaletwa hata kwa lazima hapo .
 
Wewe ni mwanafunzi na kwa Hilo swali ashajua ni Mwaka wa ngapi awafelishe vizuri.

Yaan unajichanganyaaaa.
 
Waweza kuta aloleta uzi huu ni rafiki wa karibu sana na Mr Majura.
Walikuwa wamekaa mahali wanapata pepsi baaaridiii, stori moja mbili tatu. Mr Majura akaanza elezea strategy zake za kufundisha na mengineyoo ...... hadi zikafika apa JF
 
1: Umefanya kosa kumtaja Majura kwenye kichwa cha habari halafu ndani Kuna wengine.Dhahiri weweuna jambo binafsi na Mwl. Majura na sio bure.
2: Isitoshe haujaonyesha kosa la huyo Majura na wenzake hadi mwisho wa maelezo yako, umeandika kwa hisia zaidi kuliko facts.
3: Nina mashaka umetumwa hata na management ya chuo kwani pamoja na kuwasilisha ujinga wako umetoa maelekezo wapelekwe wapi.
Kundi la vijana wengi sasa hivi wana tabia kama za kishoga/malaya kutwa kulia lia na kutaka mserereko wa maisha.Vijana badilikeni halafu mkaze maisha sio lele mama.Mifumo iendele kufanya uchunguzi wa kina kwa huu ujinga na hata mtoa taarifa achukuliwe hatua ikibidi kwani masanduku ya kutoa maoni yapo kwanini aje huku aanze kuchafua watu tena kwa kuwataja majina.
 
Mimi nimeajiriwa hapa chuoni sio Mwanafunzi waswahili unajua huwa hamna maono ya kuwaza mbali Mbona hao lectures wengine wamehamishwa baada ya kuripotiwa JF
Tunafaham vigezo vya kuwa lectures mavyuoni huko..shida ya ninyi waajiriwa tena haswa wa serikalini majungu, fitna, ubabe.. kujiona...aisee..kuna walio bora kuliko ninyi mnao chezea kodi za wananchi kizembe..Mabeyo amewaambia jana
 
HADI SASA HIVI HUJASEMA KOSA LAKE NI NINI,ACHENI HUU UPUMBAVU WA KUCHAFUANA HADHARANI.

UNATAKA LECTURER WA CHUO AWE NA MAADILI YA UALIMU APELEKE WAPI?

HUU NI UJINGA MTUPU.
 
Mimi nimeajiriwa hapa chuoni sio Mwanafunzi waswahili unajua huwa hamna maono ya kuwaza mbali Mbona hao lectures wengine wamehamishwa baada ya kuripotiwa JF
Hakuna kitu kama hicho , Mimi sehemu zote ambazo huwa nafanya kazi hata nikikuta Mlinzi ananyanyaswa lazima niseme
Watu wa aina yako huwa wana tabia ya unafiki, majungu, undumilakuwili, kujipendekeza, uchawi, roho mbaya, ubinafsi, umbea, kiherehere, usnitch, nk. Binafsi siwezi kufanya kazi mahali popote pale na watu wa aina yako!
 
We majura kama ni mbabe lete huku mitaani acha kusumbua wadogo zetu wa some. Kama kazi imekushinda kaanzishe CHUO chako huko kijijini kwenu.
 
Wanafunzi someni acheni upumbavu. Kozi ya kiswahili unalia je ingekuwa computer engineering?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…