Mkufunzi anayeitwa Majura anaenda kukiharibu chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Kwenye list yako mbona mwakaronge ameshamishiwa zenji?
 
acha uongo ww ni wengi tena unasoma geo n kiswahili
 
Nakazia serikari haijawahi kupata hasara hata chuo kikidahili wanafunzi 3,hao wakufunzi wataendelea kulipwa mishahara kama kawaida.halafu wanafunzi wa dizaini hii ni wale Wala bata sana halafu hawasomi.kija afanye kilichompeleka chuo huo umbea mwingine aachane nao
 
Jifunze tofauti ya lecture na lecturer. Tukirudi kwenye hoja, wahadhiri wengi wa Tz hawana exposure hivyo wana ubabe wa kijinga na kufanya mambo kienyeji.
 
Mtoa mada na wanafunzi anaowatete wangesoma UDSM wangekuwa wamisha wasemea ma lectures wote JF.
Mianafunzi yenyewe siku hizi haisomi.
 
Kua na ego ni tabia za lecturers wengi tu, ila hiyo ego kukufanya ushindwe kusoma kisa yeye hiyo sidhani kama ina ukweli.

Na ukizingatia mnakutana kwenye semister moja tu au mbili.
Hebu someni na mjue mnaishi nae vipi maana kua na ego hakuzuii ninyi kuelewa anachofundisha.

Sisi tulikua na lect alikua hivyo, mitihani yake konki na ya kukomoa ila bado watu tulipass ni kujua tu yeye analenga nini hasa, huenda wanafunzi ndio hamumuelewi.

Nilitegemea labda anawadhalilisha au kuwatukana au kuwafanyia vitendo vya hovyo, visasi na vitisho. Kama hivyo vyote hafanyi ni kuwapa pepa gumu na ninyi kuahindwa kulifanya hapo kosa lake liko wapi.

Ninyi ni wanachuo, lect katoa swali mmejibu, akawaambia mmekosa. Kwanini basi msitafute ushahidi kuonesha mmepata.??
Kusema ati swali hili nani akose, na wakati vyuoni mburula ni wengi tu wanaokosa hata maswali ya kipuuzi hiyo sio sawa.
 
We mura, tena mwalimu wa kiswahili, andika competent siyo compitent!
 
Ahsante sana mwanafunzi wangu
Shida kubwa ninayopitia mnaosema mazuri yangu ni wachache kuliko wanaosema mabaya yangu
Mimi ninachotaka vijana wasome wao wanataka waangalie prima donna na videm vyao halaf watoboe
 
Gen Z. Soma, fuata taratibu, wasilisha "assigments" kwa wakati, wahi darasani, naa MWISHOOOO ACHA KUTAFUTA HURUMA KUFELI UNAFELI WEWE KUFUALU UNAFULU WEWE, HAKUNA CHA KUFELISHWA WALA KUFAULISHWA
WAKO KATIKA UJENZI WA TAIFA
MAJURA HAPA NAKUSALIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ