Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kupata soko la unga wa tomato,bora tomato pasteKwanini mkuu
Mtoa mada ana idea za vitabuni. Hamna mtu atanunua unga wakati fresh tomatoes zipo na kwa bei affordableHuwezi kupata soko la unga wa tomato,bora tomato paste
Nimekuelewa vizuri MkuuViwanda na masoko vipo mkuu shida inakuja wakati wa mavuno uzalishaji unakuwa mkubwa kuliko mahitaji sasa shida inarudi kwa wakulima wanauza kwa kiwango kidogo kilicho baki wanakuwa Hawana pa kupeleka ,hivyo badala ya kudump bidhaa zilizo kosa soko basi ni Bora mkulima afenye hivi hili kuepuka hasara ndio hoja yangu mkuu
Ni nzuri pia unaweza ukauza unga wa nyanya pia ni rahisi kusafirishaUnaionaje hii idea mkuu
Shida ni market promo hakuna,soko always lipo.Mtoa mada ana idea za vitabuni. Hamna mtu atanunua unga wakati fresh tomatoes zipo na kwa bei affordable
Hata hao jamaa nilioeleza hapo kwenye post yangu iliyotangulia walifeli sababu demand ya hiyo powder ni almost nothing
Labda kama unahifadhi kwa matumizi yako tu
Ni bidhaa mpya kwa wengi, unaweza ukalazimisha soko anza na kwa mama lishe,mahotelini,nk.Hili ni wazo zuri,swali ni kuwa je ukiuza hiyo Tomatoe powder itanunulika...?
Mtanzania anaangalia Bei nafuu na Sio ubora thus mchina kaijua Siri hii anavuna utajiri AfricaBiashara ni pamoja na kuangalia wenzio wameshindwa wapi ,hao walifeli pengine labda kwenye masoko nadhan ukiwekwa mkakati mzuri unaweza kuvuka mbele zaidi ya waliko inshia wao.
kula tano mjomba!!!Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao
Kwa utafiti wangu usio rasmi nimebaini Wakulima wengi wanapoteza zaidi ya nusu ya nyanya zinazozalishwa.
Hasara kubwa wanaipata Kipindi Cha msimu wa mavuno , nyanya nyingi zinaharibika kwa kusubiri wanunuzi na zingine zinaharibika tu kutokana asili ya zao lenyewe lilivyo(laini) hivyo inawalazimu wakulima wengi kuuza kwa bei ya hasara wengine wanazitupa kabisa kwa kukosa wateja.
Sasa Njia nzuri ya kuzihifadhi na kuongeza thamani nyanya zako zilizoharibika (sio kuoza) na ambazo zimekosa soko ni kuzifanya kuwa unga (tomato powder).
Njia hii ni nyepesi Wala haiitaji gharama kubwa , unachotakiwa kufanya unazikatakata nyanya zako kisha unazianiaka juani, baada ya kukauka utazisaga kwa blenda au kwa kutumia kifaa chochote ilimradi iwe unga
kutengeneza tomatoe powder inasaidia kupunguza upotevu wa nyanya baada ya mavuno lakini pia inasaidia kendelea kutumia nyanya nyakati za uhaba wa nyanya,
hivyo ni wazo Bora pia ukiamua kufanya kibiashara , na uzuri ni kwamba tomato powder ikihifadhiwa vizuri inakaa kwa muda mrefu zaidi ya miezi sita kwahiyo kazi kwako mkulima ulifanye kuwa wazo kamili au ulitume pindi nyanya zikishindwa kutoka sokoni.
View attachment 2734709
![]()
Kwann hali ladha ni sawa tu na tomatoes mbichiHuwezi kupata soko la unga wa tomato,bora tomato paste
Swali ni kua bei yako baada ya kufanya hiyo process yote je inaweza kua chini ya bei ya fresh tomatoes [emoji534]Shida ni market promo hakuna,soko always lipo.
Soko haliwezi ishinda idea.
Mimi nataka nianze kuzalisha viazi vya kupikwa then vinakaushwa kwa dar ni ngeni lakini shinyanga,Mwanza tabora ni kitu Cha kawaida
Biashara asili yake ni idea za vitabuni (mawazo ya watu) huwezi kusema hakuna mtu atakaye nunua tomato powder kwasababu tomatoes fresh zipo na hujawai ku practice Wala kufanya research zaidi kuwaona watu fulani wanefeli tena bila kujua Sababu nini.Mtoa mada ana idea za vitabuni. Hamna mtu atanunua unga wakati fresh tomatoes zipo na kwa bei affordable
Hata hao jamaa nilioeleza hapo kwenye post yangu iliyotangulia walifeli sababu demand ya hiyo powder ni almost nothing
Labda kama unahifadhi kwa matumizi yako tu
Siku zote gharama ya bidhaa inapangwa kulingana na upatikanaji wake, operation cost yake na packaging.Swali ni kua bei yako baada ya kufanya hiyo process yote je inaweza kua chini ya bei ya fresh tomatoes [emoji534]
Kila kitu kilianza kigeni promotion ndio inayotambulisha bidhaa ,yani mtu kwasababu hajawai kutumia au kuona bidhaa fulani basi anaamini hakiwezekani huku kukutatisha watu tamaaKama ndimu,chungwa,papai,embe nanasi yanakaushwa na unauza powder yake sembuse nyanya.
Ukichukua unga wa embe,papai,nanasi,chungwa nk ukitaka kutumia unauloweka kwenye maji unapata ladha halisi ya tunda husika