Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

Kuna mashine ya drier hiyo ukiwa nayo unaweza win, lakini ukisema utegemee mwangaza wa jua kufail no 100%
 
Nawajua Wabongo ndio maana nikakuambia hivyo
 
Pia powder unaweza ukaifanya tomatoes sosi unaloweka kwenye maji unaweka na fleva zingine then unapeki kwenye chupa
 
Wazo zuri sana mkuu hilo, tena siyo lazima tusubiri zinatzotaka kuharibila unaweza kufanya hivyo wakati wa mavuno mengi. Kwa kukuongezea tu wakulima wanaweza kuungana wakatengeneza solar drier kama hii hapa kwenye picha zikakauka kwa ubora wa juu kabisa bila kupoteza viinilishe vyake.
 

Attachments

  • 20201001_150002.jpg
    644.5 KB · Views: 2
  • 20201001_145921.jpg
    865.8 KB · Views: 2
  • 20200930_135304.jpg
    702.1 KB · Views: 1
  • 20200930_135308.jpg
    608.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…