Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,762
Reaction score
21,843
Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.



 
Unakuta vijana wengine wameoa na wana watoto, wameacha wake zao nyumbani huku wakiwatumia hela na kuwaambia wako ajirani. Hivyo vibibi vinapenda mijegeje ya kiafrika ni mitulinga vikiingia kunako majamboz, vibibi havitaki wazungu wenzao wanaona wana mbilimbi, wamegundua mitulinga mikubwa na huja kutalii kwa ishu hiyo ya mitulinga mikubwa
 
Vijana hao wamepata ajira ya kupeleka moto kwa hao vibibi, wanapata madolari. Halafu wengi wa vijana hao ni wachafu wachafu sio smart, wana dread lock, rasta, hao majimama ya kizungu wanawapenda hasa, wanawapendea mitulinga yao mikubwa wanapofanya majamboz
 
Unakuta vijana wengine wameoa na wana watoto, wameacha wake zao nyumbani huku wakiwatumia hela na kuwaambia wako ajirani. Hivyo vibibi vinapenda mijegeje ya kiafrika ni mitulinga vikiingia kunako majamboz, vibibi havitaki wazungu wenzao wanaona wana mbilimbi, wamegundua mitulinga mikubwa na huja kutalii kwa ishu hiyo ya mitulinga mikubwa
😂😂😂
 
Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.View attachment 3690335


View attachment 3690336
Lakini tuache masihara, hii si kazi rahisi aisee, naona ni ngumu kuliko kufanya kazi hizi tunazozifanya za kiuchumi. Mara moja labda ila kila siku mpaka ujenge sijui ununue gari?
 
Wivu ,kila mtu anahagua aishi vipi, wamatumbi wengi wanakasumba yakuamulia maisha wengine wakati yao yamewashinda🚮
Hapo unaweza kukuta,siku mleta mada nae akipata toto la kizungu,ataruka mbio mbio,

Yani mtu eti anateseka kwa maisha ya watu wengine! halafu mtu huyo huyo anakuja kufungua uzi wa kulalamika eti maisha magumu!
 
Back
Top Bottom