Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

Hapo unaweza kukuta,siku mleta mada nae akipata toto la kizungu,ataruka mbio mbio,

Yani mtu eti anateseka kwa maisha ya watu wengine! halafu mtu huyo huyo anakuja kufungua uzi wa kulalamika eti maisha magumu!
😅😅ukiwatilia maanani wamatumbi utajikuta unaishi maisha yao badala ya kuishi yako bwashee
 
Back
Top Bottom