DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
wakuu
====
kumekucha
Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.
Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.