Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Sasa kama wenyewe kwa wenyewe mnaibiana mtashindwa kutengeneza mazingira mkifanya uchaguzi na upinzani huku refa na vibendera wote wakiwa kutoka sehemu moja..
wakuu
====
kumekucha
Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.
Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.
Huyo chizTlaatlaah imekuaje mkuu
Ni kula Kura hazipo siku hiziNi kura sio kula.
Sio kawaida ya Ccm, kwa mfano akikamatwa Padri anaiba divai sakastia hatuwezi kusema Kanisa Katoliki ndio kawaida yao.CCM ndo kawaida yao
Tuichague chaummawakuu
====
kumekucha
Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.
Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.
hapo sawa mkuu.Ni kula Kura hazipo siku hizi
Kwani haliwezekani kutengeneza mchezo wa kuigiza ili kuipaka matope CCM? CCM Ina misingi mema ya kimaadili.Hizi za mitandaoni ni drama za kitoto tu.wakuu
====
kumekucha
Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.
Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.
Alikuwa anaongopa hadharani bila soni hata kidogo!Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021
By Zitto Zuberi Kabwe.Kama wao kwa wao wanafanyiana uhuniuhuni kama huo,wewe usiye upande wao unakazaje shingo na kubwabwaja kwamba utalinda kura zako?Wapo tayari hata kukutoa roho.Jipendekeze.
Ajitafakari kwa kina na kuacha kuwatishia watu ulozi.By Zitto Zuberi Kabwe.
CCM imeozaSio kawaida ya Ccm, kwa mfano akikamatwa Padri anaiba divai sakastia hatuwezi kusema Kanisa Katoliki ndio kawaida yao.
Hao waliokamatwa na kura zilizopikwa inaonekana wana kipaji cha wizi. Hivyo kupitia wizara ya utamaduni, sayansi, elimu na maujanja, wakiongezewa ujuzi tunaweza kuwatumia kwenda kuiba pesa za mabeberu kufidia mali zetu wanazozichuma kiholela.