GE2025 Mkuranga: Kura feki za kamatwa zikisafirishwa kwenda ukumbini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alafu anatokea binadamu mmoja anakwambia oktoba kapige kura et ni haki ya Kikatiba
 
Kampeni ya Chadema ya "No Reforms, No Election" ililenga kulazimisha mageuzi ya katiba na mifumo ya uchaguzi kabla ya uchaguzi wa 2025, ikiwa ni pamoja na kubadilisha muundo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili iwe huru zaidi. Bila mageuzi haya, wapinzani wanakabiliwa na changamoto kubwa

1. Ukosefu wa Mazingira Huru na ya Haki:
Tume ya Uchaguzi inaonekana kuwa chini ya ushawishi wa CCM, kama ilivyoonyeshwa na shutuma za wanasiasa na wachambuzi kama Maria Sarungi na Rugemeleza Nshala etc. Hii inawafanya wapinzani wawe katika hali ngumu ya kushindana katika uchaguzi usio na usawa.

2. Ukandamizaji wa Wapinzani: Kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya kukamatwa, kutekwa nyara, na hata mauaji ya wanachama wa upinzani. Kwa mfano, Tundu Lissu amekamatwa na kushitakiwa kwa uhaini, na Chadema imefungiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030.

3. Ukosefu wa Rasilimali:
CCM ina faida kubwa ya rasilimali, ikiwa ni pamoja na udhibiti wa mifumo ya serikali na miundombinu ya chama, ambayo inawapa uwezo wa kuendesha kampeni za nguvu zaidi kuliko upinzani.

Kufuatilia Tetesi za jana kuwa uchaguzi wa leo mkuranga utakuwa na wizi wa kura

Leo hii vyombo na masikio yalikuwa wilayani humo

Na leo kweli yametimia ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani

Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.

Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.
 
Attachments

  • VID-20250720-WA0426.mp4
    7.9 MB
wakuu

====
kumekucha

Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.

Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.

Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.

😂😂😂😂😂Igwweeeee🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kampeni ya Chadema ya "No Reforms, No Election" ililenga kulazimisha mageuzi ya katiba na mifumo ya uchaguzi kabla ya uchaguzi wa 2025, ikiwa ni pamoja na kubadilisha muundo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili iwe huru zaidi. Bila mageuzi haya, wapinzani wanakabiliwa na changamoto kubwa

1. Ukosefu wa Mazingira Huru na ya Haki:
Tume ya Uchaguzi inaonekana kuwa chini ya ushawishi wa CCM, kama ilivyoonyeshwa na shutuma za wanasiasa na wachambuzi kama Maria Sarungi na Rugemeleza Nshala etc. Hii inawafanya wapinzani wawe katika hali ngumu ya kushindana katika uchaguzi usio na usawa.

2. Ukandamizaji wa Wapinzani: Kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya kukamatwa, kutekwa nyara, na hata mauaji ya wanachama wa upinzani. Kwa mfano, Tundu Lissu amekamatwa na kushitakiwa kwa uhaini, na Chadema imefungiwa kushiriki uchaguzi hadi 2030.

3. Ukosefu wa Rasilimali:
CCM ina faida kubwa ya rasilimali, ikiwa ni pamoja na udhibiti wa mifumo ya serikali na miundombinu ya chama, ambayo inawapa uwezo wa kuendesha kampeni za nguvu zaidi kuliko upinzani.

Ngoja tuone watafika wapi
 
Wakishawafanyia watu wengine uhuni, vikundi vya wahuni vina tabia ya kufanyiana uhuni miongoni mwao.
 
wakuu

====
kumekucha

Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.

Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.

Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.

ZITO KABWE NJOO ULINDE KURA HUKU.....
 
Uchaguzi wa nani? Nimeona huku wamama wamevaa hizo sare zao
 
wakuu

====
kumekucha

Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.

Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.

Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.

Sasa hapa shida ni nini?
Chadema wakilalamika kwamba kura zao huibiwa tunawazomea,
sasa haya si ni mazoezi ili wizi mkubwa ufanikiwe kwa urahisi? Tuwe watulivu tusubiri uchaguzi upite atakayeshindwa apeleke malalamikokwenye vyombo husika😛
 
Alafu ndo uwaambie wafanye marekebisho ya katiba, weeeeee! Wanaibiana ndo watakuacha wewe salama?
 
Back
Top Bottom