GE2025 Mkuranga: Kura feki za kamatwa zikisafirishwa kwenda ukumbini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021
Siku sita baadae..

"..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia.

Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12 jioni kwa maradhi ya Moyo akiwa katika Hospitali ya Mzena jijini Dar. Rais Magufuli alilazwa tarehe 6 Machi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa tatizo la moyo wa mfumo wa umeme ambalo limekuwa likimkabili kwa takirbani miaka 10..."
 
wakuu

====
kumekucha

Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.

Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.

Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.

View attachment 3412107
View attachment 3412108
Halafu li zito kabwe na lisula lake libayalibaya linawatia ujinga wafuasi wake kwamba watalinda kula zao
 
N
wakuu

====
kumekucha

Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.

Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.

Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.

View attachment 3412107
View attachment 3412108
Ndo wanavyofanyaga uchaguzi mkuu
 
Angesema wa nje tusingemwamini, hii inatuonyesha huwa inafanyika nini
 
Yadaiwa karatasi zimekuwa na TIKI hata kabla ya Uchaguzi

Walalamikia mchezo mchafu kufanyika. Waomba maamuzi yafanywe na viongozi wa juu haraka

wakuu

====
kumekucha

Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.

Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.

Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.

View attachment 3412107
View attachment 3412108
Bwana lukasi una lolote la kusema?
 
Hawa ndio sisiemu wenyewe sasa. Hahah yaani mapema sana wanaanza kuibiana daah hawa watu ni wahuni sana
 
Haya maccm ni majiziii kweli kweli inatakiwa kura ziwe zinapigwa kieletronic haya mambo ya makaratasi hayafai
 
Back
Top Bottom