Hiyo ndo kawaida ya ccmwakuu
====
kumekucha
Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.
Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.
Hakuna cha kushangaza. Ni kama fisi kula mzogaHiyo ndo kawaida ya ccm
Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021Na bado.. Mwaka huu Watauana sana
Mambo mengine ni madogo madogo,yakuyamaliza tu kimya kimya ππwakuu
====
kumekucha
Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Wilaya kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa UWT waliingiza kura hizo ukumbini kinyume na utaratibu wa uchaguzi.
Tunaendelea kuchunguza undani wa tukio hili na tutaendelea kuwapa taarifa kadri tunavyopata ukweli zaidi kutoka kwa mamlaka husika.
View attachment 3412107
View attachment 3412108
Haya ni majangili haswa CHADEMA wapo sahihiMambo ya CCM hayo ,ni sawa na mlevi na pombe au mate na ulimii ,,alafu wao wao ndio wahubiri HAKIπππ
Huyu mzee ni tapeli haswaRais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021