Mkurugenzi/Afisa Elimu Tanga City liangalie hili la walimu kuwatoza wanafunzi fedha kwa kila somo watakalo fundishwa wakati wa likizo

Mkurugenzi/Afisa Elimu Tanga City liangalie hili la walimu kuwatoza wanafunzi fedha kwa kila somo watakalo fundishwa wakati wa likizo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Kwanza likizo zimekatazwa, wao wanakaidi
2. Wanawatoza hela watoto kwa kila kipindi watakachofundishwa. Wamewatuma watoto waende na hela(Mwang'ombe)

Prof aliwaonya kuwa shule za serikali watoto waende likizo kama kalenda ilivyo.,

Mmeruhusu haya?
 
Back
Top Bottom