Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Rais JPM May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.
N:B Hii Ndio ile Toilet Paper tuisemayo tumika ukimaliza unaflashiwa
Mbona unajiumauma kipi nilichokiandika ambacho siyo cha kweli? Taluma yangu haiyendani na wongoMnnhh! Mwanahabarihuru labda inawezekana leo ukawa umeandikwa ukweli eennh? Ngoja nifanye uchunguzi. Nawasihi na wanabodi wengine wawe waangalifu sana na chochote uandikacho
mimi namuamini sana Mwanahabari kama huna imani naye wewe ni jecha kambadilishe.buku 7 weweMnnhh! Mwanahabarihuru labda inawezekana leo ukawa umeandikwa ukweli eennh? Ngoja nifanye uchunguzi. Nawasihi na wanabodi wengine wawe waangalifu sana na chochote uandikacho
Hapo kwenye NB: Hayo maneno yangekuwa sahihi kama haya yangetokea kwenye administration iliyomuweka...kumbuka huu ni utawala tofauti, unaojaribu kuwekeza nishati yake yote kwa watu wa chini na wanyonge...ukitaka kugombana na administration ya awamu ya 5, jaribu kuonea wanyonge na masikini.Rais JPM May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.
N:B Hii Ndio ile Toilet Paper tuisemayo tumika ukimaliza unaflashiwa
mimi namuamini sana Mwanahabari kama huna imani naye wewe ni jecha kambadilishe.buku 7 wewe
swissme
Tusidanganyane hivi utawala wakumfukuza mtu kazi bila kufuata maadili ya kazi ndio utawala huu wa hawamu ya Tano?Hapo kwenye NB: Hayo maneno yangekuwa sahihi kama haya yangetokea kwenye administration iliyomuweka...kumbuka huu ni utawala tofauti, unaojaribu kuwekeza nishati yake yote kwa watu wa chini na wanyonge...ukitaka kugombana na administration ya awamu ya 5, jaribu kuonea wanyonge na masikini.
huna Elimu ya juu.Wewe sio mimi, hata akili ya kulifahamu hilo tu huna? Inawezekana kuna mambo mazuri aliyokufanyia na ukaridhika nae sana na pengine hata alikidhi hamu na shki zako vilivyo, sasa kwa nini usimuamini? Hongera sana
Kama wewe ulivyo ridhika na Nchi jirani kwenye maswala yakuzungusha viunoWewe sio mimi, hata akili ya kulifahamu hilo tu huna? Inawezekana kuna mambo mazuri aliyokufanyia na ukaridhika nae sana na pengine hata alikidhi hamu na shki zako vilivyo, sasa kwa nini usimuamini? Hongera sana
dikteta.Tusidanganyane hivi utawala wakumfukuza mtu kazi bila kufuata maadili ya kazi ndio utawala huu wa hawamu ya Tano?
Tusidanganyane hivi utawala wakumfukuza mtu kazi bila kufuata maadili ya kazi ndio utawala huu wa hawamu ya Tano?
Huwezi ona maadili yoyote maana wewe ni Chura unarukaruka tuMaadili gani ya kumsimamisha kiongozi yanayotakiwa kufuatwa?
Leo chura ndio unaona Unafiki wakati mnarukaruka hamuoni unafiki?Habari imeandikwa kiunafiki flani
Na wewe ni great thinker?Huwezi ona maadili yoyote maana wewe ni Chura unarukaruka tu
Mkuu Sikuhizi wanaitwa Churadikteta.
swissme