Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

Msigwa anadhani kiwanda kinajengwa wiki mbili tatu, aende jimboni kwake aulize kili kiwanda cha chill sauce..
 
Kaza Buti Mkuu Mwanahabari huru Tupo pamoja Usichoke kutujurisha Wenye Majungu na Roho Mbaya hawapo JF tu ata Ktaa chetu wapo
 
Hapo kwenye NB: Hayo maneno yangekuwa sahihi kama haya yangetokea kwenye administration iliyomuweka...kumbuka huu ni utawala tofauti, unaojaribu kuwekeza nishati yake yote kwa watu wa chini na wanyonge...ukitaka kugombana na administration ya awamu ya 5, jaribu kuonea wanyonge na masikini.

KUmbe setrekali iliyopita ni ya CCM na hii ni ya MAGUFULI?

kwlei Akili ndogo kuongoz aAkili kubwa!

hili swala linas emwa kila siku kuw awatu wnatumika kuiteeta CCM kw agharama kubw ana mwisho wa siku wana tupwa!
 
Yeeees, vituko vinazidi, watu wanazidi kucheka, umewafurahisha sana, hasa kwa namna ulivyoitoa 'ongera', umedhihirisha wewe ni mahiri katika uvumbuzi wa mambo mapya. Kaza buti usichoke
WATANZANIA WANASHANGA CHURA WANAVYORUKARUKA NA KUTOKA KWENYE MATOPE
 
Mnnhh! Mwanahabarihuru labda inawezekana leo ukawa umeandikwa ukweli eennh? Ngoja nifanye uchunguzi. Nawasihi na wanabodi wengine wawe waangalifu sana na chochote uandikacho
Acha kutishia watu, kama una habari tofauti itoe, mambo ya kuleta vitisho hayafai
 
KUmbe setrekali iliyopita ni ya CCM na hii ni ya MAGUFULI?

kwlei Akili ndogo kuongoz aAkili kubwa!

hili swala linas emwa kila siku kuw awatu wnatumika kuiteeta CCM kw agharama kubw ana mwisho wa siku wana tupwa!
Uwezowako mdogo sana..unadhani kwavile awamu zote zilizopita zilikuwa chini ya CCM basi inamaanisha hata style ya utawala zitafanana...au unataka kutuaminisha kuwa utawala wa Nyerere ulikuwa sawa na utawala wa Kikwete?
 
Magufuri na kafulila hawana colleration yeyote.
 
Katika mijitu mijinga, wewe ndio unakuwaga wa mwisho wao kabisa.
48460-140.jpg

wewe ni

swissme
 
duh basis hii ni hatarii sana, HVO pale kigoma anatetea nn sasa kupeleka ushahidi mahakaman.
 
Mnnhh! Mwanahabarihuru labda inawezekana leo ukawa umeandikwa ukweli eennh? Ngoja nifanye uchunguzi. Nawasihi na wanabodi wengine wawe waangalifu sana na chochote uandikacho
Usitishe taluma ya mtu wewe
 
Rais Magufuli sasa tumia koleo kung'oa haya majipu maana vidole vitachoka kabla ya zoezi halijaisha.
 
Back
Top Bottom