Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
- Thread starter
- #21
Unataka chura ndio wawe?Na wewe ni great thinker?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka chura ndio wawe?Na wewe ni great thinker?
Kama wewe ulivyo ridhika na Nchi jirani kwenye maswala yakuzungusha viuno
Nyumbu hajawai kumiliki akili hata siku mojaUnataka chura ndio wawe?
...Wewe huandika uongo. Usijifiche kwenye mvungu wa taaluma.Taluma yangu haiyendani na wongo
Kama wewe ulivyo ridhika na Nchi jirani kwenye maswala yakuzungusha viuno
Asante chura kwa kurukarukaNyumbu hajawai kumiliki akili hata siku moja
Kwakua nimewashika chura wakirukaruka?...Wewe huandika uongo. Usijifiche kwenye mvungu wa taaluma.
...Ni kweli taaluma ya uandishi habari inasisitiza kuepuka kuandika uongo.
nb: hoja hapa ni kuwa, mara kwa mara, wewe huandika uongo.
Team Chura ruka ruka sanaSi ajabu hata hiyo nchi ya kuzungusha viuno habari zake ulipewa na huyo unayemuamini sana. Mwenzetu una bahati sana kumbe yuko mtu anafikiri kwa niaba yako na wewe umekaa tu unamuamini mtu anayekutendea vyema! Mungu akupe nini tena?
Team Chura ruka ruka sana
Asante sana team Chura kwa kutoka kitopeni kuja nchi kavu kuja kurukarukaHuyu ndiye mwanahabarihuru, muandishi wa habari mweledi na kada mahiri katika chama chake si ajabu siku moja chama chake kikishika Dola anaweza kuwa msemaji wa chama au waziri wa habari wa nchi hii. Vijana wasomi, weledi na wenye mawazo mazuri kama haya inahitajika sasa wafikiriwe kupewa nafasi ili kuvikuza vipaji vyao kwa minajili ya kuwajenga kuwa viongozi mahiri wa baadae. Bravo Mwanahabarihuru!
Asante sana team Chura kwa kutoka kitopeni kuja nchi kavu kuja kurukaruka
Kuwa mkweli team katika ubora wakoHapo juu Mwanahabarihuru akiendelea kuonesha uwezo wake, weledi na umahiri. Keep it up Mwanahabarihuru ! If you real believe you can, absolutely, you will do it. Onesha uwezo wako usibakize hata punje.
Kuwa mkweli team katika ubora wako
Tujuzane team chura ndiyo akina nani tena? Au wale wa buku7?Kuwa mkweli team katika ubora wako
Ndio mkuuTujuzane team chura ndiyo akina nani tena? Au wale wa buku7?
Hata mimi naona na ninakipa ongera Chura kwa kurukarukaNdio nakuwa mkweli hapa naufahamisha umma uwezo wako, wewe endelea tu na kuibua vituko vingine, mimi leo siachi kuwahimiza wasome kwani lazima uzi huu ujae na watu wakaufahamu vilivyo. hii kazi naifanya kwa ukweli na uaminifu wa hali ya juu
Hahahahah ebwane Noma sanaNdio mkuu
Hata mimi naona na ninakipa ongera Chura kwa kurukaruka
Mbona unajiumauma kipi nilichokiandika ambacho siyo cha kweli? Taluma yangu haiyendani na wongo