Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

M/habari huru
Heshima kwako. Naomba ufafanuzi wa mambo 2. Kwanza je kwenye mkutano huo wakazi wa Babati walitoa malalamiko juu ya Mkurugenzi huyo? Pili, kama Raisi alitoa tamko la kumwajibisha Mkurugenzi slitumia kigezo hicho cha kesi ya Uvinza tuu?
 
Rais JPM May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.

N:B Hii Ndio ile Toilet Paper tuisemayo tumika ukimaliza unaflashiwa
UTAHAHA SANA CHADOMO wewe! SHOLO MWAMBA anakuita!
 
Huyu ndiye mwanahabarihuru, muandishi wa habari mweledi na kada mahiri katika chama chake si ajabu siku moja chama chake kikishika Dola anaweza kuwa msemaji wa chama au waziri wa habari wa nchi hii. Vijana wasomi, weledi na wenye mawazo mazuri kama haya inahitajika sasa wafikiriwe kupewa nafasi ili kuvikuza vipaji vyao kwa minajili ya kuwajenga kuwa viongozi mahiri wa baadae. Bravo Mwanahabarihuru!

chura unanesanesa
 
Ndiiindiiiii ndiindiiiii tumeitakaaa wenyewee
 
Back
Top Bottom