Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

Povu chura povu lakurukaruka chura jamani Chura

Wenye kufahamu na kuweza kutofautisha almas na vipande vya chupa weshajua, kwani wahenga walisema penye ukweli uongo hujitenga. Taswira yako uliyokuwa ukiificha, taaluma yako uliyokuwa huitangazi sasa vyote viko dhahiri, go go go mwanahabarihuru!
 
Rais JPM jana May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.

Na sasa atasema kweli nini kilichofanyika wakati wa kutangaza matokeo. Huwa wanasubiri CCM iwaumize ndio akili inakaa sawasawa.
 
President Magufuli is balanced not standing to either side of poor or rich what he wants is righteousness keeping
 
Ndo ajue upuuzi wa kutetea ujinga


Naomba hili liwakute majuha wote wa jf wanaopiga makofi yakushangilia huku ndugu zao wengi wanakufa kwa kukosa huduma za afya!. Unafiki ni tabia ya shetani na karama ya shetuani ni mikasa. Wayaone wao wenyewe.
 
Naomba hili liwakute majuha wote wa jf wanaopiga makofi yakushangilia huku ndugu zao wengi wanakufa kwa kukosa huduma za afya!. Unafiki ni tabia ya shetani na karama ya shetuani ni mikasa. Wayaone wao wenyewe.
Hawa watu humu hua hawakomi aseee
 
Rais JPM May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.

N:B Hii Ndio ile Toilet Paper tuisemayo tumika ukimaliza unaflashiwa
Namkumbuka Madiga alisimamia ukweli....
 
Mkuu..M.huru
Unamana buku7 wamepata cheo kipya..Chura wanarukarukaa..
 
Aaaak kabisa,sifa ya chura ni kunesanesa,kwani Mungukaumba kila kiumbe na sifa zake, je sifa ya bata nayo waijua ndugu yangu?

chura unanesanesa chura, chura unatukaruka chura x2, chura huyoo wewe chura huyoo
 
Eti wameamua kuandika 'tetesi'! Hakuna cha tetesi hapa, andikeni tu 'uongo'. Mods watu wengine wakileta habari za uongo humu mnaziacha we hata kama mnafahamu fika kuwa ni uongo.Kisha baadae eti tetesi. Mtu anasema rais kahutubia kasema maneno haya halafu hiyo habari ni tetesi? Upuuzi na unafiki wa hali ya juu.Uongo ni uongo tu, sehemu yake ni kwenye vichwa vya wapuuzi na sio kwa great thinkers unless kama jf nayo imeamua kufanya 'mabadilikoooo'
 
Back
Top Bottom