Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mke akiombwa unyumba kila siku amechoka, haya ndio matokeo yake.Alibaka mke akiwa wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke akiombwa unyumba kila siku amechoka, haya ndio matokeo yake.Alibaka mke akiwa wapi
Kwakuwa hatuna akili za kushikiwa, tunakiona Kile ambacho wewe huwezi kukiona.Hivyo baadhi ya wanaume mmeona tu suala la mkewe kusema ukweli, ila suala la tuhuma za ubakaji kwa huyo binti mdogo ni sawa na hamjaliona kabisa..!?
Nadhani angekuwa ni binti wa mmoja wenu, at least you could've felt the pain, kuweni na huruma kwa watoto..
Ungejiuliza Kwanza ni kweli huna akili?Numbisa ya kweli haya unapanuliwa na bodaboda?
Walisema ana Miaka 16 sasa imeongezeka ana Miaka 18, Mtoto kwa mujibu wa Sheria ni marufuku kufanya kazi za Nyumbani km muajiriwa Sheria ya Mtoto inakataza ndio maana wakasogeza umri mbele, kwa hio miaka 18 ni Mtoto?Hivyo baadhi ya wanaume mmeona tu suala la mkewe kusema ukweli, ila suala la tuhuma za ubakaji kwa huyo binti mdogo ni sawa na hamjaliona kabisa..!?
Nadhani angekuwa ni binti wa mmoja wenu, at least you could've felt the pain, kuweni na huruma kwa watoto..
Kwahiyo mke wewe uko tayari kuangamiza familia yako Kwa excuse hii.
Ziko njiani nyingi za kuliweka hili Sawa, kwahiyo Mume akienda jela wewe ndio furaha?
Huyo Bodaboda anayekupanuwa atawalipia school fees wanao?
Alisema hivi kweli au umemtungia mistari?Mke akiombwa unyumba kila siku amechoka, haya ndio matokeo yake.
Ndo ishatokea sasa, usikute alishamuonya na kuvumilia sana lakini mwamba akawa anaendelea kisirisiri mpaka mkewe alipokuja kugundua tenaShida ipo kwa mke wake. Mambo ya nyumbani yaishe nyumban tu. Wanawake wanatakiwa kuwa na Siri. Siri za ndani ziishie ndani. Jamaa akifungwa mke hakuna faida yoyote anapata
Alibaka mke akiwa wapi
Amesema unapanuliwa na bodaboda kweli au SIO kweli?Mkuu hatujafikia hatua hii. Unadhani kila mtu analiwa na boda boda? Yaani umepanic vibaya sana. Halafu sijakuquote kwenye uzi huu kiasi cha kuadha kutoa kashfa kwa mtu usiyemfahamu. Take a chill pill
Ogopa Mwanamke unaeishi nae na migogoro ya hapa na pale anakuhesabia siku tuNdo ishatokea sasa, usikute alishamuonya na kuvumilia sana lakini mwamba akawa anaendelea kisirisiri mpaka mkewe alipokuja kugundua tena
Wewe mtetezi wake huna cha kusema?Aulizwe mleta mada
Dr Matola PhD 😮Tumuulize aliyesema hayo huwezi jua labda tumeolewa uke wenza na boda boda🤣🤣🤣🤣
NAONA NI MAPEMA SANA KUMLAUMU MWANAMKE.Mwanamke mjinga huyu,sasa atakula nini,kafanya maamuzi akiwa na hasira ila baada ya hasira kumuisha atajuta sana.
Mamlaka ya uteuzilazima iangalie CV ya mtu kabla ya kumpa cheo kikubwa Kama DED.Ajabu.
Mkurugenzi ameaminiwa kusimamia Halmashauri lakini hata sheria hazijui/ anazipuuza.
Mafia iko jirani na Pemba .Nani kakwambia mafia ipo Zanzibar