Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.

Hatua hiyo imebainika saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa DED huyo usiku wa Aprili 18, 2024 akiwa Istanbul, Uturuki alikoenda kwa ziara ya kikazi.

Hata hivyo, taarifa ya kutenguliwa kwake iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus kwa vyombo vya habari haikueleza sababu za hatua hiyo.

Taarifa zilizoifikia Mwananchi zinadai kuwa Ndumbo anatuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti huyo, jambo lililobainika baada ya mkewe kugundua.

Pia Soma:
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?
Inawezekana kasingiziwa maana kwa sisi waislamu kubakana siyo rahisi kwa sababu ya uwezekano wa kuwa zaidi ya mke mmoja. Hilo zengwe kachezewa
 
Wanaokwenda Jela SIO wote wana hatia

Juzi kuna Mzee alichomekewa kesi ya ulawiti nikaambiwa nikamuhoji vizuri maana Polisi walishamkamata Mzee wa watu wakamtia ndani Safari mahakamani kwenye kumbana dogo akasema hajalawitiwa na huyo Mzee Ila Mama yake wa kufikia ndio alimpanga aseme hivyo sababu Mzee alikua anamtaka kimapenzi kwa hio akataka afungwe kwa kesi ya ulawiti Ila ukweli dogo hakua amelawitiwa, ndio baada ya kugundua hivyo zikafanywa process Mzee akaachiwa

Usicheze na Mwanamke
Duuuh hatariiii.
 
Yani huyu ni shetani kabisa, hata kama tunaichukia CCM siwezi kuunga mkono huu upuuzi wa huyu mwanamke.

Binti wa miaka 18 wa sasa si mtoto kabisa.
Hata kama angekuwa na miaka 30 ila kubaka ni jinai
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.

Hatua hiyo imebainika saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa DED huyo usiku wa Aprili 18, 2024 akiwa Istanbul, Uturuki alikoenda kwa ziara ya kikazi.

Hata hivyo, taarifa ya kutenguliwa kwake iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus kwa vyombo vya habari haikueleza sababu za hatua hiyo.

Taarifa zilizoifikia Mwananchi zinadai kuwa Ndumbo anatuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti huyo, jambo lililobainika baada ya mkewe kugundua.

Pia Soma:
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?
Niwashauri Wanaume hata kama upwiru umekubana vipi usiwachokoze mabinti wa nyumbani kwako lazimisha akili yako iwachukulie km wanao hata awe mfanyakazi sijui shemeji hao ni km watoto wako tu.

Ni bora utafute gubegube huko nje likupe hata gono kuliko effect ya kumfanya mtu wa ndani ya familia yako ambaye si mkeo..

Pole kwa huyo x mkurugenzi mahakama itaamua kulingana na ushahidi ingawa yataisha ila mzee huyo atabaki na sonono maisha yake yote.
 
Mamlaka ya uteuzilazima iangalie CV ya mtu kabla ya kumpa cheo kikubwa Kama DED.
Mimi ningekua DED kwa mihela wanayoiba bila kukaguliwa Wala kubugudhiwa na mamlaka yoyote, ningejitafutia michepuko yangu mitatu. Mmoja Dar ndani ndani huko Bunju, ingine Tanga wilaya ya Kilindi na nyingine Mtwara, wote ma single maza yenye kazi zao serikalini.
Mpaka mke wangu aje anihisi sio leo.
Sasa hili bwege linachukua mchepuko next room, wakiwa sitting room wanakonyezana mke anaona. Tena mjinga huyu si ajabu alikua anamla mtoto wa watu ndogo.
Ndogo haimuachi MTU salama. Utarudia tu maana makazi ya shetani yako kwenye lile tundu. Ile harufu ndiomarashi ya ibilisi.
😂 kwa style hii ndio maana hutokaa upate. Wenzako wanapiga hela waongeze mali , wewe unapiga hela uongeze michepuko
 
Kwahiyo mke wewe uko tayari kuangamiza familia yako Kwa excuse hii.

Ziko njiani nyingi za kuliweka hili Sawa, kwahiyo Mume akienda jela wewe ndio furaha?

Huyo Bodaboda anayekupanuwa atawalipia school fees wanao?
Yeye kupanuliwa na boda boda ni sawa ila mume kumbato katoto kabichi anaona binti ata mpindua
 
Hivyo baadhi ya wanaume mmeona tu suala la mkewe kusema ukweli, ila suala la tuhuma za ubakaji kwa huyo binti mdogo ni sawa na hamjaliona kabisa..!?

Nadhani angekuwa ni binti wa mmoja wenu, at least you could've felt the pain, kuweni na huruma kwa watoto..
Regardless Hakuna aliyeshikwa Kwa nguvu na binti wa 16+ siyo kinda.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.

Hatua hiyo imebainika saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa DED huyo usiku wa Aprili 18, 2024 akiwa Istanbul, Uturuki alikoenda kwa ziara ya kikazi.

Hata hivyo, taarifa ya kutenguliwa kwake iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus kwa vyombo vya habari haikueleza sababu za hatua hiyo.

Taarifa zilizoifikia Mwananchi zinadai kuwa Ndumbo anatuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti huyo, jambo lililobainika baada ya mkewe kugundua.

Pia Soma:
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

Watamfunga huyo, ila mazingira yatawekwa atatoka kwa rufaa.
 
Shule ulienda kusomea ujinga? Hiyo 16 wewe umeona ni sawa au zaidi ya 18?
Miaka 16 walisema Ila sasa wamepindua umri wameweka 18 sababu Sheria ya Mtoto hairuhusu mtoto kufanya kazi za ndani miaka 16 ilitakiwa awe Shule, hio ni kesi nyingine, ushanielewa?
 
Kwahiyo mke wewe uko tayari kuangamiza familia yako Kwa excuse hii.

Ziko njiani nyingi za kuliweka hili Sawa, kwahiyo Mume akienda jela wewe ndio furaha?

Huyo Bodaboda anayekupanuwa atawalipia school fees wanao?
Sikutarajia hii comment kutoka kwako
 
Back
Top Bottom