Mwanamke atakuvumilia Kama umechepuka huko nje na mwanamke asiyemjua. Lakini beki tatu ambaye ana bikra zote halafu umri wake Ni under 18. Au rafiki yake au jirani, aisee Yuko tayari kupoteza kila kitu lakini uadibishwe.
Jamaa anasgangaa DED kula ndogo,
Wanaume hio michi yenu inajua kuwaponza. Wengine hamchagui minutes nyie mnatwanga tu. Hamjui kama minutes nyengine vinaleta mitosis na mabalaa. Utamu gani huo wa kuwatoa akili kiasi hicho khaaa!!
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.
Hatua hiyo imebainika saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa DED huyo usiku wa Aprili 18, 2024 akiwa Istanbul, Uturuki alikoenda kwa ziara ya kikazi.
Hata hivyo, taarifa ya kutenguliwa kwake iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus kwa vyombo vya habari haikueleza sababu za hatua hiyo.
Taarifa zilizoifikia Mwananchi zinadai kuwa Ndumbo anatuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti huyo, jambo lililobainika baada ya mkewe kugundua.
Pia Soma:
- Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?
KweliWote mnaomlaumu mke hamna akili. Mkurugenzi alikua anabaka acheni kutetea ujinga yasije warudia mabinti zenu
Kama kufungwa mtafunga watu wengi Sana walioajiri watoto chini ya 18 yrs. Lakini watanzania tutunge Sheria zinazoendana na uhalisia wa maisha yetu, hv ni wangapi wanaishia la Saba, ni wangapi wanaishia form four? Kwahiyo Hawa wasifanye kazi kabisaaaaa mpaka wafikie miaka 18? Nchi masikini zitaendeshwa Sana na fikra za nchi tajiri Kwa sababu ya viongozi wasiowaza nje ya box. Pole mkurugenzi upwiru ndivyo ulivyo😂😂Inakuwaje mkurugenzi kuajili katoto chini ya miaka 18?
Kuna shehe alisema ukila ndogo hata shetwaan hahusiki na hiyo dhambi. Yaani hiyo umeibuni mwenyewe na utahangaika nayo mwenyewe.Jamaa anasgangaa DED kula ndogo,
Anyway hakunaga laana kwenye kufukua mitaro
Utamu wa samaki mkia
Mpaka hapo sheria hiyo itakapodirishwaKama kufungwa mtafunga watu wengi Sana walioajiri watoto chini ya 18 yrs. Lakini watanzania tutunge Sheria zinazoendana na uhalisia wa maisha yetu, hv ni wangapi wanaishia la Saba, ni wangapi wanaishia form four? Kwahiyo Hawa wasifanye kazi kabisaaaaa mpaka wafikie miaka 18? Nchi masikini zitaendeshwa Sana na fikra za nchi tajiri Kwa sababu ya viongozi wasiowaza nje ya box. Pole mkurugenzi upwiru ndivyo ulivyo😂😂
Wee neng’eneka tu 😛Wacha walimbikize Mali wafe kwa kisukari wawaachie watu watakua wanatembea na wake zao na binti zao.
Mimi sikudanganyi, supu kwa Sana, beer usiseme na michepuko. Silimbikizi Mali PSSSF yangu itanilinda.
PSSSF plus kiinua mgongo. Halafu kipindi hicho nishamaliza kusomesha.Wee neng’eneka tu 😛
Utakuja usumbue wapwa żako kila wakati Simu na meseji 😆😆
Hizo Sheria zinawahusu masikini ndugu yangu, sio watu kama haoMpaka hapo sheria hiyo itakapodirishwa
Kwa sasa mkurugenzi ana tuhuma kuvunja sheria hiyo.
Ikithibitika miaka 30 inamuhusu.
Kama kufungwa mtafunga watu wengi Sana walioajiri watoto chini ya 18 yrs. Lakini watanzania tutunge Sheria zinazoendana na uhalisia wa maisha yetu, hv ni wangapi wanaishia la Saba, ni wangapi wanaishia form four? Kwahiyo Hawa wasifanye kazi kabisaaaaa mpaka wafikie miaka 18? Nchi masikini zitaendeshwa Sana na fikra za nchi tajiri Kwa sababu ya viongozi wasiowaza nje ya box. Pole mkurugenzi upwiru ndivyo ulivyo😂😂
Kwa kweli mke wake ndo kamletea jamaa shida yote hiyoShida ipo kwa mke wake. Mambo ya nyumbani yaishe nyumban tu. Wanawake wanatakiwa kuwa na Siri. Siri za ndani ziishie ndani. Jamaa akifungwa mke hakuna faida yoyote anapata
Kwani binti kalalamika..?Hivyo baadhi ya wanaume mmeona tu suala la mkewe kusema ukweli, ila suala la tuhuma za ubakaji kwa huyo binti mdogo ni sawa na hamjaliona kabisa..!?
Nadhani angekuwa ni binti wa mmoja wenu, at least you could've felt the pain, kuweni na huruma kwa watoto..