KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
The game has been closed. Nobody will be paid anything and transfers to be undertaken without obstacles. Age range from 55+ to be eliminated from voluntary and compulsory retirement plans, and will extrovert individuals lose support, thereby being easily axed?!!! @KK, USTL mpo?
Sawa umetufukuza na kutuibia haki yetu Kwa manufaa yako binafsi hivi unajisikiaje Kuna watu wamefanya kazi zaidi ya miaka 20+ Leo unakuja unaharbu Kila kitu na kuwafukuza Kwa sababu hawana uwezo wa kupambana na ww hao watu unaowatimua kilio chao ni raana kwako na familia hizo pesa utaiba sawa lkn hao uliowafukuza wanakuombea duwa mbaya katika maisha yako na kamwe hutakaa tufurahie huo utajir wako wa dhurma.
 
Kiukweli hawa Gada hatuwaelewi alikubali mbaka mda huu wameshatoa wazee bila kuwalipa pesa walizokuwa wanadai pia wamestafishwa bila kulipwa kiinua mgongo na mkono wa Kwa heri ambapo hapo mwanzo tulikuwa tunalipwa vizur lkn gafla wazee wameambiwa Ile ilikuwa ni hisani ya kampuni sio sheria Kwa hiyo amesitisha kiuharisia gada hamna kazi kicho Baki ni kufanya maarifa nje ya kampuni maana hatuna tena mtetezi tena.
Mzee wa Garda unahamia kwemye biashara sasa
 
Nimesoma hii, nikawaonea huruma jamaa zangu walinzi nawakuta ofisini kwa mshua pale kila napoenda kumsalimu, daaah. Nikirudi bongo inabidi nikawajulie hali, wale walinzi wa garda wanyama sana peace sana wale. Daaah. Last time nimekutana nao mwezi wa tisa nilipoenda kuchukua gari ya mzee, aliiacha ofisini wakati yko safari akakutwa na umauti, ila jamaa wako fair sana. Nikirudi bongo itabidi nikawacheki pale kama wapo.
 
atleast we wa kishua unaakili Kuna mijamaa huku masaki ww unamlindia Mali zake lkn yeye ni kama anakuchukia hii kazi bro ni kama laana hata ulipwe milioni Kila mtu anakudharau Yani unakuwa innocent Kwa kila mtu.
 
Salute.

Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world.

Kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa ultimate zamani kiukweli umekuwa tatizo kubwa na ni kero katika ufanyaji kazi.

Kwanza tangu umepata nafasi ya kuendesha kampuni ukitokea tigo hujawahi kuitisha kikao ujue wafanyakazi wako wanapitia shida gani na Nini malengo yako katika kampuni badala yake umekuwa (MUNGU MTU).

Naomba nieleze hapa kampuni ya ultimate kabla yakuwa Gardaworld imepitia mikononi mwa wamiliki wengi na Kila walipokuwa wanaamua kuuza kampuni Kwa mmiliki mwingine tulikuwa tuitwa kinafanyika kikao tunaeleweshwa na karibu hao maboss wote watu Ziballa & shivva nk.

Walikuwa wanafanya press tunajulishwa Kila kitu na walitoa pesa ya Asante nakumbuka nilipokea 1.2m maana nilifanya kazi Kwa miaka kumi na kipindi hicho chote tukiwa ultimate Kila baadae ya miezi sita.

Mkurugenzi aliitisha kikao tukasema kero zetu na zikafanyiwa kazi sasa tangu kampuni ya ultimate iuzwe na kuchukuliwa na Garda world.

Kiufupi tunaona tunaendeshwa kihuni hivi inakuwaje tunaenda kumuona mkuu wa mkoa mh chalmila hatupati ugumu wa kumuona iweje kwako Mkurugenzi ndugu luQmay utuwekee uzibe tusikuone kuleta kero zetu.

Pli kampuni imeuzwa mmiliki ambao ni wazungu wamekupa fedha wafanyakazi walipwe kama fidia ya kubadili mikataba Yao kutoka ultimate kwenda Garda world lakini kutokana na roho yako mbaya unataka kutuzima kinguvu Ili fungu uchukue na ni pesa nyingi ukiweza kutuzima tunaamini utatajirika sana tatu week mbili nyuma umenitisha kikao tumekuja kwenye kikao umetuwekea spika ndani ya ukumbi Yani wewe na team yako ya upigaji munaongea bila kuonekana sisi tunasikia tu kwenye spika mtu hatumuoni it's ok hata kama mmeamua kutufanya wajinga lakini sio Kwa level hiyo kikao.

Kilivyoshindikana ukapanga kikao tarehe Saba ulivyosikia na sisi tunakuja na wanasheria wetu mkaahirisha kikao Kwanini kiongozi LuQmay usijifunze

Kwa wenzio akina Eliuta mwanjawike walikuwa wanakula na kipofu alikuwa hakimbiii wafanyakazi mwisho usifikiri utatuendesha kirahisi kama unavyodhani..

Pia sisi tulidhani wewe mtu mweusi uwe mkombozi wetu Kwa hao wazungu lkn wewe ndio umekuwa mwiba kwetu hata kama ukifanikiwa kutudhurumu it's tutakuombea hata Dua mbaya tu maana mahakamini tukipekeleka kesi tukishinda unakuja kuappeal then uinaweka kapuni na kutishia kufukuza kazi wafanyakazi.

Ila Kwa hili la malipo ya mikataba tutaenda hata ubalozi wa Canada kushinikiza waiitwe wamiliki wa kampuni mwisho jifunzeni G4s na SGA uone kampuni zinavyoendeshwa.
Kumbuka tiGO sasa Yas imekuwa ikiwafanyia unyama wateja wake. Reference ni issue ya Lisu. Ni watu wangapi wameathirika na maamuzi ya akina Lukumay.

Huyo Mkurugenzi wenu ana damu za wasio na hatia mikononi mwake. Hawezi kukaa sawa
 
LuQmay mzee wa Masai club - kinondoni
 
Kumbuka tiGO sasa Yas imekuwa ikiwafanyia unyama wateja wake. Reference ni issue ya Lisu. Ni watu wangapi wameathirika na maamuzi ya akina Lukumay.

Huyo Mkurugenzi wenu ana damu za wasio na hatia mikononi mwake. Hawezi kukaa sawa
acha tu Yani yule jamaa ana roho ya kishetani ila ukikaa nae ukamsikiliza unaingia kwenye mfumo ila nyuma ya pazia jamaa hafai ni mnyama sana nasikia hata babdarini alikuwepo nako kaharbu hapo sina uhakika ila yeye mwenyewe alitamka mbaka nakuja gada nimeshatumikia makampuni zaidi ya matano na huko kote kaacha kilio🤣🤣
 
Back
Top Bottom