KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu wasaidie mawazo jenzi sio kuwakatisha tamaa unawatengenezea stress na sintofahamu

Inavyoonesha kuna mambo gizani yanaendelea huku kila mmoja ndani ya jumba akimsonya mwingine kumbe aliyewafungia hayumo kwenye chumba cha giza!!
Hapo kuwashaur wakomae tu huku walitafuta kazi zingine, au wajiajri machimbo nawaelekezaga humu bure kabisa
 
Boss uttoh2002
Mawazo na maoni ya mwingine yaheshimiwe
Eti mfanyakazi ajivike sifa za
1. Unafiki
2. Kuvumilia
3. Kujipendekza
4. Mmbeya (mtu wa kutia chumvi au kuongeza maji mengine) kuondoa au kukoleza ladha ya sifa au lalamiko wakati anateseka na kuogelea kwenye viashiria vya umasikini kwa mshahara wa kula bia kuweka akiba kwa maendeleo binafsi?
Hii hatari na nusu
 
Bongo hapa ajira ni chache ,ni kampuni chache sana zinafanya mambo kwa usahihi kuhusiana na welfare za mishahara ,haki za wafanyakazi na mazingira ya kazi ,kuna vibarua tu ,tena slavery gigs .
Ukiangalia level za mishahara na mazingira ya kazi ,ni vitu vya ajabu sana vinaendelea
 
Acha kazi
blessings Kwanini Unamjibu mwenzio kwa lugha chafu kama hiyo?, Hii inathibitisha hata wanavyolalamika mnawanyanyasa na kuwanyima haki zao za kisheria kisa mko kwenye madaraka ya muda. Usimtendee mwinzio jambo ambalo wewe hupendi kutendewa...period. Sekta ya ulinzi ninyi viongozi mbona mnadharau sana kwa walinzi wanaowazalishia na kupata mishahara minono kuwazidi wao halafu unajibu nyodo!!! Huu ni uvunjifu wa haki za binadamu
 
Wewe jamaa hauna akili, wewe ni limbukeni, mimi nimeongea kuhusu malalamiko ya wafanyakazi wenu na hii haimaanishi kuwa mimi ni mfanyakazi wa hilo kundi lenu la ulinzi, kuwa na heshima bwana mdogo.
The game has been closed. Nobody will be paid anything and transfers to be undertaken without obstacles. Age range from 55+ to be eliminated from voluntary and compulsory retirement plans, and will extrovert individuals lose support, thereby being easily axed?!!! @KK, USTL mpo?
 
Kiswahili mkuu
Mchezo umeshafungwa. Hakuna atakayelipwa chochote na uhamisho wa jira utafanyika bila kizuizi. Wenye umri zaidi ya miaka 55 wataondoshwa kwenye ajira ama kwa hiari au kwa lazima ya kustaafu kwa mjibu wa sheria. Waongeaji sana watakosa kuungwa mkono na wenzao kwa hofu hivyo itakuwa rahisi kuondoshwa.
 
Mkate uliiokwa kwa matumizi ya familia unaenda kwa mtoto wa kuasili wakati mtoto halisi kwa jina la ukoo wake yuko pembeni akisubiria masalia yanayodondoshwa chini yafagliwe kama taka kisha aanze kunyang'anyana na mbwa na paka..................fumbo mfumbie mjinga mwerevu huling'amua.....the deal is done
 
Namba imefunikwa vumbi hamuwezi kuiona na mwendeshaji hamtamtabua kwa hiyo hamna uwezo wa kumdai chochote.. Hiyo ndio mrejesho hai Unachodai na stahiki yoyote unayopaswa kuibugia ilishayeyuka na ukurasa ulishajifunga na kuganda kwenye gundi ya miti.
 
Mmeelewa lakini nyie Quebeque na Bangalore?
Dharau kubwa sana!!!
Mmeimbishwa ubatili mkapumbazika na ahadi hewa huku mkiwa hamna uwezo wa kufanya chochote

Mshahara wa Disemba kama wa Februari, Machi, Aprili, Mei, Juni, Julai, Agosti, Septemba, Oktoba au Novemba

Unapokea sifa hewa kwa kufanikisha waishio chini ya kichuguu kuishi kwa nafuu !!!!

Disemba, Januari kipindi cha majukumu lukuki lakini hakuna anayekujali!!!
 
Mbona mwapunguzwa kupitia umri mkubwa kabla ya malipo yahusuyo mkataba wa jira kutozingatiwa katika mchakato wa ubadilishaji jina na kuhamisha?

Je, walinzi wa kampuni zote zilizonunuliwa mnalipwa au mojawapo tu?

Hampati vitisho tena vya kudai haki yenu?

#The person who hurts you is the person who knows you.
#When you mention a snake get hold of a stick.
#A tree drops nothing on those who are not there.

'Poleni' wakuu haki haipotei, na anayejaribu kuipoteza ukose kwa hila hupotea yeye.
Kiukweli hawa Gada hatuwaelewi alikubali mbaka mda huu wameshatoa wazee bila kuwalipa pesa walizokuwa wanadai pia wamestafishwa bila kulipwa kiinua mgongo na mkono wa Kwa heri ambapo hapo mwanzo tulikuwa tunalipwa vizur lkn gafla wazee wameambiwa Ile ilikuwa ni hisani ya kampuni sio sheria Kwa hiyo amesitisha kiuharisia gada hamna kazi kicho Baki ni kufanya maarifa nje ya kampuni maana hatuna tena mtetezi tena.
 
Back
Top Bottom