Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣piga ya kichwa bado anahema..Uliposikitisha hapo hapo ndo nikakuona azonto na wewe
Watu wanajikuta wajuvi sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣piga ya kichwa bado anahema..Uliposikitisha hapo hapo ndo nikakuona azonto na wewe
Hatari,...siii mchezo hiyoMnafanya kikao na mtu asiyeonekana. Hii kali 😅
Kama machinga,dawa ya kunguni,viroboto kwa chinga wa Dunia*2Hii yq spika ni kali
JamaniKama machinga,dawa ya kunguni,viroboto kwa chinga wa Dunia*2
Say No to GARDAWADA.
Jeshi la Polisi ambao mnasajili kampuni za Ulinzi take this note kama redflag ya uhalifu ujao.
Wadau/wateja epukeni hii kampuni soon Walinzi/wafanyakazi wataanza kufanya hujuma kulipa kisasi.
Tia kwenye dustbin hii kampuni wakose wateja
Mawazo yenu ni positive ila kuweni makini tu pale mnapotuma hizo information Fanya juu chini haujulikani kwani wanaweza kukutengenezea ka kitu kadogo na wakakufukuza kazi.ni kweli hapa tunaplan tutume email Canada na tuende ubalozi wa Canada kushinikiza maana Kwa hapa bongo kesi zote tunashinda lkn utekelezaji unaharibiwa Kwa rupia.
Hicho si kikao ni kusikiliza taarifa.Mnafanya kikao na mtu asiyeonekana. Hii kali 😅
asanteh mkuu aliitisha kikao tulimaliza tofauti na amekubali kutulipa mwezi huu japo ni kweli kama unavyosema amepunguza wafanyakazi kuanzia tar 26 anastaafisha wazee kupunguza upinzaniMawazo yenu ni positive ila kuweni makini tu pale mnapotuma hizo information Fanya juu chini haujulikani kwani wanaweza kukutengenezea ka kitu kadogo na wakakufukuza kazi.
Mlinzi ni askari, askari zake ni kutii order
Kuwa makini sasa, Fanya kazi acha democrasia kwani kazi za ulinzi na democrats ni vitu viwili tofauti.asanteh mkuu aliitisha kikao tulimaliza tofauti na amekubali kutulipa mwezi huu japo ni kweli kama unavyosema amepunguza wafanyakazi kuanzia tar 26 anastaafisha wazee kupunguza upinzani
Tarehe 26 Oktoba ni Jumamosi vipi mmepewa mpunga wenu nyie walalamikaji kuhusu kampuni yenu?asanteh mkuu aliitisha kikao tulimaliza tofauti na amekubali kutulipa mwezi huu japo ni kweli kama unavyosema amepunguza wafanyakazi kuanzia tar 26 anastaafisha wazee kupunguza upinzani
Alituita mwezi uliopita akakubali kulipa akatwambia tumpe muda wa kupiga mahesabu na kukutana na vyama vya wafanyakazi baada ya hapo ndio atulipe lkn mbaka Leo kimya hatujui ameishia wapi na atatulipa kiasi gani kiufupi kampuni inaendeshwa kihuni.Tarehe 26 Oktoba ni Jumamosi vipi mmepewa mpunga wenu nyie walalamikaji kuhusu kampuni yenu?
Mbona bado wenzio wanasikika hali ndio imekuwa mbaya imetawaliwa na ukimya bila kujua kinachoendelea?
Tarehe 26 Oktoba ni Jumamosi vipi mmepewa mpunga wenu nyie walalamikaji kuhusu kampuni yenu?
Mbona bado wenzio wanasikika hali ndio imekuwa mbaya imetawaliwa na ukimya bila kujua kinachoendelea?
Kumbe shida iko hapa .akina Eliuta mwanjawike walikuwa wanakula na kipofu
Mbona mwapunguzwa kupitia umri mkubwa kabla ya malipo yahusuyo mkataba wa jira kutozingatiwa katika mchakato wa ubadilishaji jina na kuhamisha?Alituita mwezi uliopita akakubali kulipa akatwambia tumpe muda wa kupiga mahesabu na kukutana na vyama vya wafanyakazi baada ya hapo ndio atulipe lkn mbaka Leo kimya hatujui ameishia wapi na atatulipa kiasi gani kiufupi kampuni inaendeshwa kihuni.
Jitahidi kuwa serious kwenye mada serious na kama ipo nje ya uwezo wako, sio lazima ucomment.Na mimi siku ntawaita micheps wote waongee na mimi kwa spika
Acha ukabila na maneno ya namna hii. Sio mazuri.Mkuu Jamii ya watu wa Kaskazini wakipata kazi kwa wazungu wanatabia ya kunyanyasa waswahili wenzao, Wapo tayari kuwazulumu Wa Afrika wenzao ili kumtajirisha mgeni. Wanawapenda wazungu kama Mungu wao wa pili.
Acha uchawi!!! We huwa hukosei? Mfano katika sentensi yako hii, hujaweka alama zozote za kiuandishi kama koma nk. Je, na sisi tusisome sentensi yako? Badala ya neno "sitisha" sijui umeandika nini?Ulipotaja neno KELO nikasikitisha kusoma hapo hapo.
Kijambio Kinapwita? Umeona ulichoandika wewe ndorobo wahed?Ulipotaja neno KELO nikasikitisha kusoma hapo hapo.
Jamaa anajifanya Big Brother.Mnafanya kikao na mtu asiyeonekana. Hii kali 😅
Mkuu wasaidie mawazo jenzi sio kuwakatisha tamaa unawatengenezea stress na sintofahamuMnafanya kikao na mtu asiyeonekana. Hii kali 😅