KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Say No to GARDAWADA.
Jeshi la Polisi ambao mnasajili kampuni za Ulinzi take this note kama redflag ya uhalifu ujao.
Wadau/wateja epukeni hii kampuni soon Walinzi/wafanyakazi wataanza kufanya hujuma kulipa kisasi.
Tia kwenye dustbin hii kampuni wakose wateja

ni kweli hapa tunaplan tutume email Canada na tuende ubalozi wa Canada kushinikiza maana Kwa hapa bongo kesi zote tunashinda lkn utekelezaji unaharibiwa Kwa rupia.
Mawazo yenu ni positive ila kuweni makini tu pale mnapotuma hizo information Fanya juu chini haujulikani kwani wanaweza kukutengenezea ka kitu kadogo na wakakufukuza kazi.

Mlinzi ni askari, askari zake ni kutii order
 
asanteh mkuu aliitisha kikao tulimaliza tofauti na amekubali kutulipa mwezi huu japo ni kweli kama unavyosema amepunguza wafanyakazi kuanzia tar 26 anastaafisha wazee kupunguza upinzani
 
Kuwa makini sasa, Fanya kazi acha democrasia kwani kazi za ulinzi na democrats ni vitu viwili tofauti.

Utafukuzwa kazi familiar ianze kuteseka.
 
asanteh mkuu aliitisha kikao tulimaliza tofauti na amekubali kutulipa mwezi huu japo ni kweli kama unavyosema amepunguza wafanyakazi kuanzia tar 26 anastaafisha wazee kupunguza upinzani
Tarehe 26 Oktoba ni Jumamosi vipi mmepewa mpunga wenu nyie walalamikaji kuhusu kampuni yenu?

Mbona bado wenzio wanasikika hali ndio imekuwa mbaya imetawaliwa na ukimya bila kujua kinachoendelea?
 
Alituita mwezi uliopita akakubali kulipa akatwambia tumpe muda wa kupiga mahesabu na kukutana na vyama vya wafanyakazi baada ya hapo ndio atulipe lkn mbaka Leo kimya hatujui ameishia wapi na atatulipa kiasi gani kiufupi kampuni inaendeshwa kihuni.

Mbona mwapunguzwa kupitia umri mkubwa kabla ya malipo yahusuyo mkataba wa jira kutozingatiwa katika mchakato wa ubadilishaji jina na kuhamisha?

Je, walinzi wa kampuni zote zilizonunuliwa mnalipwa au mojawapo tu?

Hampati vitisho tena vya kudai haki yenu?

#The person who hurts you is the person who knows you.
#When you mention a snake get hold of a stick.
#A tree drops nothing on those who are not there.

'Poleni' wakuu haki haipotei, na anayejaribu kuipoteza ukose kwa hila hupotea yeye.
 
Mkuu Jamii ya watu wa Kaskazini wakipata kazi kwa wazungu wanatabia ya kunyanyasa waswahili wenzao, Wapo tayari kuwazulumu Wa Afrika wenzao ili kumtajirisha mgeni. Wanawapenda wazungu kama Mungu wao wa pili.
Acha ukabila na maneno ya namna hii. Sio mazuri.
 
Ulipotaja neno KELO nikasikitisha kusoma hapo hapo.
Acha uchawi!!! We huwa hukosei? Mfano katika sentensi yako hii, hujaweka alama zozote za kiuandishi kama koma nk. Je, na sisi tusisome sentensi yako? Badala ya neno "sitisha" sijui umeandika nini?
 
Back
Top Bottom