KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Salute.Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kelo ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa ultimate zamani kiukweli umekuwa tatizo kubwa na ni kelo katika ufanyaji kazi kwanza tangu umepata nafasi ya kuendesha kampuni ukitokea tigo hujawahi kuitisha kikao ujue wafanyakazi wako wanapitia shida gani na Nini malengo yako katika kampuni badala yake umekuwa (MUNGU MTU) naomba nieleze hapa kampuni ya ultimate kabla yakuwa Gardaworld imepitia mikononi mwa wamiliki wengi na Kila walipokuwa wanaamua kuuza kampuni Kwa mmiliki mwingine tulikuwa tuitwa kinafanyika kikao tunaeleweshwa na karbu hao maboss wote watu Ziballa & shivva nk walikuwa wanafanya press tunajulishwa Kila kitu na walitoa pesa ya Asante nakumbuka nilipokea 1.2m maana nilifanya kazi Kwa miaka kumi na kipindi hicho chote tukiwa ultimate Kila baadae ya miezi sita mkurugenzi aliitisha kikao tukasema kero zetu na zikafanyiwa kazi sasa tangu kampuni ya ultimate iuzwe na kuchukuliwa na Garda world kiufupi tunaona tunaendeshwa kihuni hivi inakuwaje tunaenda kumuona mkuu wa mkoa mh chalmila hatupati ugumu wa kumuona iweje kwako mkurugenzi ndugu luQmay utuwekee uzibe tusikuone kuleta kero zetu pili kampuni imeuzwa mmiliki ambao ni wazungu wamekupa fedha wafanyakazi walipwe kama fidia ya kubadili mikataba Yao kutoka ultimate kwenda Garda world lkn kutokana na roho yako mbaya unataka kutuzima kinguvu Ili fungu uchukue na ni pesa nyingi ukiweza kutuzima tunaamini utatajirika sana tatu week mbili nyuma umenitisha kikao tumekuja kwenye kikao umetuwekea spika ndani ya ukumbi Yani wewe na team yako ya upigaji munaongea bila kuonekana sisi tunasikia tu kwenye spika mtu hatumuoni it's ok hata kama mmeamua kutufanya wajinga lkn sio Kwa level hiyo kikao kilivyoshindikana ukapanga kikao tarehe Saba ulivyosikia na sisi tunakuja na wanasheria wetu mkaahirisha kikao Kwanini kiongozi luQmay usijifunze Kwa wenzio akina Eliuta mwanjawike walikuwa wanakula na kipofu alikuwa hakimbiii wafanyakazi mwisho usifikiri utatuendesha kirahisi kama unavyodhani pia sisi tulidhani wewe mtu mweusi uwe mkombozi wetu Kwa hao wazungu lkn wewe ndio umekuwa mwiba kwetu hata kama ukifanikiwa kutudhurumu it's tutakuombea hata Dua mbaya tu maana mahakamn tukipekeleka kesi tukishinda unakuja kuappeal then uinaweka kapuni na kutishia kufukuza kazi wafanyakazi ila Kwa hili la malipo ya mikataba tutaenda hata ubalozi wa Canada kushinikiza waiitwe wamiliki wa kampuni mwisho jifunzeni G4s na SGA uone kampuni zinavyoendeshwa.
Namtumia Goodluck thread yako ujumbe umfikie
 
Nyie wenzenu wanaenda kulala mpo nje mnakesha 😄
kazi ya kuuza usingizi.
nimeifanya sana hii kazi ya kipuuzi 😃
ilikua ukichoka unalala zako
siku moja kapita supavaiza akaniuliza unalinda mali au mali inakulinda. nikiwa zangu nimeuchapa usingizi nilikurupuka nikamjibu mara mojamoja mali inanilinda mkuu. kesho yake kifuatacho itv...
 
Say No to GARDAWADA.
Jeshi la Polisi ambao mnasajili kampuni za Ulinzi take this note kama redflag ya uhalifu ujao.
Wadau/wateja epukeni hii kampuni soon Walinzi/wafanyakazi wataanza kufanya hujuma kulipa kisasi.
Tia kwenye dustbin hii kampuni wakose wateja
afadhali wewe umeona Kuna mdau hapo juu anasema ni majungu...
Inauma ile.. alaf muda wa kulipwa masimango kibao bosi anaona kama anakusaidia

mlinzi yoyote wa Garda muulize anamjua boss wake??? unalinda LINDO unajulikana ULTIMATE wewe umevaa nguo ya Garda world 🤣🤣
 
kazi ya kuuza usingizi.
nimeifanya sana hii kazi ya kipuuzi 😃
ilikua ukichoka unalala zako
siku moja kapita supavaiza akaniuliza unalinda mali au mali inakulinda. nikiwa zangu nimeuchapa usingizi nilikurupuka nikamjibu mara mojamoja mali inanilinda mkuu. kesho yake kifuatacho itv...
🤣🤣
 
na sikushauli mkuu unadhalilika sana haifai ww unang'atwa na mbu usiku kucha ila ukienda kw mwajiri wako hata kubadili nguo tu unasimangwa sana Yani unajiona sio binadamu inafika kipindi hata ule uanamme inapotea Kwa hofu .
Hizo sio kazi... kutishiwa kufukuzwa ni kugusa tu. Usiku mbu zishakushughulikia vya kutosha
 
Back
Top Bottom