KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Salute.

Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world.

Kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa ultimate zamani kiukweli umekuwa tatizo kubwa na ni kero katika ufanyaji kazi.

Kwanza tangu umepata nafasi ya kuendesha kampuni ukitokea tigo hujawahi kuitisha kikao ujue wafanyakazi wako wanapitia shida gani na Nini malengo yako katika kampuni badala yake umekuwa (MUNGU MTU).

Naomba nieleze hapa kampuni ya ultimate kabla yakuwa Gardaworld imepitia mikononi mwa wamiliki wengi na Kila walipokuwa wanaamua kuuza kampuni Kwa mmiliki mwingine tulikuwa tuitwa kinafanyika kikao tunaeleweshwa na karibu hao maboss wote watu Ziballa & shivva nk.

Walikuwa wanafanya press tunajulishwa Kila kitu na walitoa pesa ya Asante nakumbuka nilipokea 1.2m maana nilifanya kazi Kwa miaka kumi na kipindi hicho chote tukiwa ultimate Kila baadae ya miezi sita.

Mkurugenzi aliitisha kikao tukasema kero zetu na zikafanyiwa kazi sasa tangu kampuni ya ultimate iuzwe na kuchukuliwa na Garda world.

Kiufupi tunaona tunaendeshwa kihuni hivi inakuwaje tunaenda kumuona mkuu wa mkoa mh chalmila hatupati ugumu wa kumuona iweje kwako Mkurugenzi ndugu luQmay utuwekee uzibe tusikuone kuleta kero zetu.

Pli kampuni imeuzwa mmiliki ambao ni wazungu wamekupa fedha wafanyakazi walipwe kama fidia ya kubadili mikataba Yao kutoka ultimate kwenda Garda world lakini kutokana na roho yako mbaya unataka kutuzima kinguvu Ili fungu uchukue na ni pesa nyingi ukiweza kutuzima tunaamini utatajirika sana tatu week mbili nyuma umenitisha kikao tumekuja kwenye kikao umetuwekea spika ndani ya ukumbi Yani wewe na team yako ya upigaji munaongea bila kuonekana sisi tunasikia tu kwenye spika mtu hatumuoni it's ok hata kama mmeamua kutufanya wajinga lakini sio Kwa level hiyo kikao.

Kilivyoshindikana ukapanga kikao tarehe Saba ulivyosikia na sisi tunakuja na wanasheria wetu mkaahirisha kikao Kwanini kiongozi LuQmay usijifunze

Kwa wenzio akina Eliuta mwanjawike walikuwa wanakula na kipofu alikuwa hakimbiii wafanyakazi mwisho usifikiri utatuendesha kirahisi kama unavyodhani..

Pia sisi tulidhani wewe mtu mweusi uwe mkombozi wetu Kwa hao wazungu lkn wewe ndio umekuwa mwiba kwetu hata kama ukifanikiwa kutudhurumu it's tutakuombea hata Dua mbaya tu maana mahakamini tukipekeleka kesi tukishinda unakuja kuappeal then uinaweka kapuni na kutishia kufukuza kazi wafanyakazi.

Ila Kwa hili la malipo ya mikataba tutaenda hata ubalozi wa Canada kushinikiza waiitwe wamiliki wa kampuni mwisho jifunzeni G4s na SGA uone kampuni zinavyoendeshwa.
Mkuu Jamii ya watu wa Kaskazini wakipata kazi kwa wazungu wanatabia ya kunyanyasa waswahili wenzao, Wapo tayari kuwazulumu Wa Afrika wenzao ili kumtajirisha mgeni. Wanawapenda wazungu kama Mungu wao wa pili.
 
kabsa aisee halafu jamaa ni mmsai lkn jau sana sisi tulitegemea yeye ndio awe mkombozi wetu lkn imekuwa sio kibaya zaidi wanaziba hata hao wazungu tusiwaone😂😂
 
Hawa Gardaworld walianza kwa mbwembwe sana. Sasa hivi biashara yao imeshuka. Wamepoteza malindo mengi sana, kwa Sumajkt Guard, G4S, SGA. Hii chengachenga ya kukutana na wafanyakazi inaonyesha jinsi gani wanapitia wakati magumu kimapato. Walinzi wa kawaida wabeba virungu na kupigwa na baridi hawawezi kujua hili. Sisi tulioko kwenye mfumo ndio tunajua🤔
Hata kama kampuni inapitia kipindi kigumu ndio ushindwe kufanya mikutano na wafanyakazi wako zaidi ya miaka 3 na kibaya zaidi hawakujui🤔🤔🤔
 
Kmmke Tatz walinzi wengu shule ndogo sa jamaa anawachukulia poaa.
Kuchukuliwa poa ni matokeo ya njaa iliokithiri mzee. Kuna kazi za kitumwa sana nchini humu nasikitika kwamba hamna chombo ambacho kinasimamia maslahi ya wafanyakazi kwa ujumla.

Mtu analipa mshahara ambao hata yeye nafsi inamsuta ila kwa kuwa anajua watu wana njaa watafanya tu kazi.
 
Nilikuwa sijui kama Ultimate Security ndiyo Garda World maana nilijiuliza hii kampuni mbona imekuwa ghafla tu?

Umefanya kazi miaka 10 umepewa Shake hands ya 1.2m? Aiseee watu wana roho mbaya sana!!

Huyo Luqmay mpelekeni CMA tu ataenda kutema NDOANO.
 
Duh,kazi kweli kweli.Harakati za mtu mweusi ni ngumu sana Kamanda.
Kiufupi kampuni nyingi ni za unyonyaji,na hii inatokana na sera mbovu ya Serikali na Serikali kuongozwa na wahuni,machawa,vizabinazabina.
Hakuna policy iliyo balanced.
Asilimia 80%,wanalia Kila kona.ila 20% ndo wahuni wanakula keki ya Taifa huku wakilindwa na wajinga.
 
Salute.

Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world.

Kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa ultimate zamani kiukweli umekuwa tatizo kubwa na ni kero katika ufanyaji kazi.

Kwanza tangu umepata nafasi ya kuendesha kampuni ukitokea tigo hujawahi kuitisha kikao ujue wafanyakazi wako wanapitia shida gani na Nini malengo yako katika kampuni badala yake umekuwa (MUNGU MTU).

Naomba nieleze hapa kampuni ya ultimate kabla yakuwa Gardaworld imepitia mikononi mwa wamiliki wengi na Kila walipokuwa wanaamua kuuza kampuni Kwa mmiliki mwingine tulikuwa tuitwa kinafanyika kikao tunaeleweshwa na karibu hao maboss wote watu Ziballa & shivva nk.

Walikuwa wanafanya press tunajulishwa Kila kitu na walitoa pesa ya Asante nakumbuka nilipokea 1.2m maana nilifanya kazi Kwa miaka kumi na kipindi hicho chote tukiwa ultimate Kila baadae ya miezi sita.

Mkurugenzi aliitisha kikao tukasema kero zetu na zikafanyiwa kazi sasa tangu kampuni ya ultimate iuzwe na kuchukuliwa na Garda world.

Kiufupi tunaona tunaendeshwa kihuni hivi inakuwaje tunaenda kumuona mkuu wa mkoa mh chalmila hatupati ugumu wa kumuona iweje kwako Mkurugenzi ndugu luQmay utuwekee uzibe tusikuone kuleta kero zetu.

Pli kampuni imeuzwa mmiliki ambao ni wazungu wamekupa fedha wafanyakazi walipwe kama fidia ya kubadili mikataba Yao kutoka ultimate kwenda Garda world lakini kutokana na roho yako mbaya unataka kutuzima kinguvu Ili fungu uchukue na ni pesa nyingi ukiweza kutuzima tunaamini utatajirika sana tatu week mbili nyuma umenitisha kikao tumekuja kwenye kikao umetuwekea spika ndani ya ukumbi Yani wewe na team yako ya upigaji munaongea bila kuonekana sisi tunasikia tu kwenye spika mtu hatumuoni it's ok hata kama mmeamua kutufanya wajinga lakini sio Kwa level hiyo kikao.

Kilivyoshindikana ukapanga kikao tarehe Saba ulivyosikia na sisi tunakuja na wanasheria wetu mkaahirisha kikao Kwanini kiongozi LuQmay usijifunze

Kwa wenzio akina Eliuta mwanjawike walikuwa wanakula na kipofu alikuwa hakimbiii wafanyakazi mwisho usifikiri utatuendesha kirahisi kama unavyodhani..

Pia sisi tulidhani wewe mtu mweusi uwe mkombozi wetu Kwa hao wazungu lkn wewe ndio umekuwa mwiba kwetu hata kama ukifanikiwa kutudhurumu it's tutakuombea hata Dua mbaya tu maana mahakamini tukipekeleka kesi tukishinda unakuja kuappeal then uinaweka kapuni na kutishia kufukuza kazi wafanyakazi.

Ila Kwa hili la malipo ya mikataba tutaenda hata ubalozi wa Canada kushinikiza waiitwe wamiliki wa kampuni mwisho jifunzeni G4s na SGA uone kampuni zinavyoendeshwa.
Haya naneno ungeweza kuyasema kwake Kama ungezuia gari yake getini
 
Mtaje kwa majina yake yotee

Anaitwaa Goodluck Lukumay fanyia kazi hayo yotee aliyosema mtumishi wako ,La sivyo utakuja kuwa kama 4DAYS ilivyopoteaaaaa
 
Mzungu anakuja anasema Hawa nitawalipa kimataifa km wanavyolipwa walinzi wa Canada mbongo aliepewa rungu anawakandamiza anamwambia Mzungu hapa sio Canada Hawa usiwalipe km watu wa Canada walipe km Watu wasio na umuhimu wowote Mzungu anasema ebu tuone mbinu yake sasa mbinu anayoitumia mbongo ndio hio kuwakimbia Wafanyakazi hawasikilizi Wafanyakazi sababu anajua anawaibia haki zao na stahiki zao
Huyo mkurugenzi mbongo ndio miyeyusho. Wazungu kwenye maslahi hawanaga mbambamba. Akishawekwa mbongo anamfundisha boss ugai gai 🤣 halafu yeye anakuwa analipwa mshahara wa kimataifa ila wenzie anawakadiria wawe wanalipwa laki 3/3. Stupid kabisa.
 
Sasa kampuni inayomilikiwa na wazungu by 100% inakuaje na ubabaishaji? Au ni wazungu kutokea Mumbai 🤣?

Hii kampuni nilichoona Kuna magumashi yalifanyika, Ultimate, KK, na kampuni zingine Kwa nje ni kama wameungana kuwa Garda World lakini ndani zimebaki vile vile. Kuna baadhi ya mambo yana misuguano sana kwenye uendeshaji na utawala.

SGA na G4S hawakuingia kwenye hilo shirikisho. Na Kuna baadhi ya maeneo Garda wamepoteza kazi zikachukuliwa na SGA na G4S.
 
Huyo mkurugenzi mbongo ndio miyeyusho. Wazungu kwenye maslahi hawanaga mbambamba. Akishawekwa mbongo anamfundisha boss ugai gai 🤣 halafu yeye anakuwa analipwa mshahara wa kimataifa ila wenzie anawakadiria wawe wanalipwa laki 3/3. Stupid kabisa.
Mkuuu wazungu wengii wakiona wanapoteana au kampuni inapumulia mashine wanasepa wanatafuta mtu mwingine hasa hii rangi nyeusi ili waendeshe kampuni kibongobongo ili iweze kuservival mkuu
 
Mzungu anakuja anasema Hawa nitawalipa kimataifa km wanavyolipwa walinzi wa Canada mbongo aliepewa rungu anawakandamiza anamwambia Mzungu hapa sio Canada Hawa usiwalipe km watu wa Canada walipe km Watu wasio na umuhimu wowote Mzungu anasema ebu tuone mbinu yake sasa mbinu anayoitumia mbongo ndio hio kuwakimbia Wafanyakazi hawasikilizi Wafanyakazi sababu anajua anawaibia haki zao na stahiki zao
Screenshot_20240913-070026~2.png

Hebu angalia wenzao wa canada wanavyolipwa🤣
 
Back
Top Bottom