jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu huyo Mkurugenzi kapewa pesa lazima wale kwa usefu wa Kamba.Ni makaburi ya wote yapo katikati wa wawekezaji wakubwa HUGOS CLUB na RED STONE NIGHT CLUB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo Mkurugenzi kapewa pesa lazima wale kwa usefu wa Kamba.Ni makaburi ya wote yapo katikati wa wawekezaji wakubwa HUGOS CLUB na RED STONE NIGHT CLUB
Hataki kusikiliza excuse yoyote ileMkuu usiende toa taarifa una uguliwa
Kila mtu anasafisha kwakeSi ni jimamosi ya usafi hiyo?
Kodi zao zinafanya kazi gani?Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Nyie ndiyo mnawaendekeza watu wa aina hiyo. Tatizo nako hamjuwi haki zenu na utaratibu za kazi. Kusafisha makaburi wapi na wapi na kazi yako. Mgomeeni asiwapelekeshe kama ni mwanamke wapeleke mke wake na watoto wake wakasafishe na kama ni mwanamke ampeleke muwe na watoto wake wakafanye hiyo kazi.Tumesafisha jumamosi iliyopita akasema tumefika wachache anataka turudie jumamosi ya kesho pia mkuu. Je? Hata kama ni jumamosi ya usafi ni utaratibu watumishi kwenda kusafisha makaburi bila kujali nauli tunapata wapi? Yaani ni amri saa 12 ufike bila kujali umbali unaotokea hii ni haki kweli?
Na yeye huwa anashiriki au ni nyie walimu tu?Tumesafisha jumamosi iliyopita akasema tumefika wachache anataka turudie jumamosi ya kesho pia mkuu. Je? Hata kama ni jumamosi ya usafi ni utaratibu watumishi kwenda kusafisha makaburi bila kujali nauli tunapata wapi? Yaani ni amri saa 12 ufike bila kujali umbali unaotokea hii ni haki kweli?
Watumishi wote.....sio waalimu Peke yao. Soma vizuri tangazo acha mihemkoKichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Kwa mtumishi kugomea elekezo la anayepitisha barua zako ni changamoto kubwa sana.Huyo ni afisa nidhamu wako hivyo ataamuru usumbuliwe,usimamishwe,uundiwe kamati nk,mpaka uje kuonekana ulionewa umeshateseka sana na familia yako.Na ngazi za juu zina mambo mengi mpaka zije kutetea jambo lako miaka imeenda,umepigika na kudhalilika ipasavyo;na kwa ufinyu wa muda wanaweza kukutoa mhanga ili maisha yawe rahisi.Hivyo inabidi akili itulie na zaidi ujishushe na kupotezea ili mambo yaende.Nyie ndiyo mnawaendekeza watu wa aina hiyo. Tatizo nako hamjuwi haki zenu na utaratibu za kazi. Kusafisha makaburi wapi na wapi na kazi yako. Mgomeeni asiwapelekeshe kama ni mwanamke wapeleke mke wake na watoto wake wakasafishe na kama ni mwanamke ampeleke muwe na watoto wake wakafanye hiyo kazi.
Hii nzuri sana.Unakuwa umefuata utaratibu,hujagoma.Utalipwa lini...hilo litajulikana ilimradi umeshaomba overtimeMimi angekutana na fomu ya kufanya kazi masaa ya ziada anilipe akileta ujuaji nampeleka mahakamani sitakagi ujinga mimi.
Hivi Mkurugenzi mzima anashindwa kuomba Magereza wafungwa wafanye huo usafi?Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Watalipa tu maana siyo kwa huo usumbufu nitakaowafanyiaHii nzuri sana.Unakuwa umefuata utaratibu,hujagoma.Utalipwa lini...hilo litajulikana ilimradi umeshaomba overtime
Hii ndio maana ya uoga.Kwa mtumishi kugomea elekezo la anayepitisha barua zako ni changamoto kubwa sana.Huyo ni afisa nidhamu wako hivyo ataamuru usumbuliwe,usimamishwe,uundiwe kamati nk,mpaka uje kuonekana ulionewa umeshateseka sana na familia yako.Na ngazi za juu zina mambo mengi mpaka zije kutetea jambo lako miaka imeenda,umepigika na kudhalilika ipasavyo;na kwa ufinyu wa muda wanaweza kukutoa mhanga ili maisha yawe rahisi.Hivyo inabidi akili itulie na zaidi ujishushe na kupotezea ili mambo yaende.