GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
R.I.P Mzee wetu Mwang'onda
Wewe ni mmoja kati ya watu wa mwisho mwisho mliokuwa mmepikwa mkaiva haswa.
Nisalimie sana Emilio Mzena na Jenerali Imrani Kombe!
Daima utakumbukwa.
Kwa huyo Emilio Mzena nakukubalia kwa 100% kuwa alikuwa vyema mno, ila huyo Imran Kombe hapo hakukuwa na Kitu.